mie niliapply mwezi wa saba, leo nimetumiwa sms ya kwenda kwenye usaili pale DIT wiki ijayo.
wamesema majina yote yapo kwenye tovuti yao ; www.policeforce.go.tz.
yap kwa maelezo yaliyokuwepo kwenye sms waliyonitumia walisema majina yapo kwenye tovuti yao.
nikaingia sikuyakuta, nikaenda wizara ya mambo ya ndani. nikakutana na ofisa wa ICT wa jeshi la polisi,akaniambia wameshindwa kuyaweka majina hayo kwenye mtandao kutokana na hitilafu kwenye server yao.
hivyo akanionyesha majina hayo kwenye karatasi na jina langu lilikuwepo ktk graduates wanaotarajia kuwaajiri kwenye idara ya ICT.
ni hayo tu mkuu.
Kwa Juni 2012 tayari watu walishakwenda na mwezi wa saba 2013 wanamaliza kozi so kama bado uko interested jarib tena ,inaonekana haukufatilia mwaka jana kwani walitoa majina baada ya watu kuapply na na mwezi wa 1o tarehe 11 mwaka 2012 waliondoka