Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

Kwa hiyo hao viumbe wamefungwa?Nntaka nshangae kama hapo ndo segerea yao.
 
Ila kwa Rubondo hujaitendea haki ndugu yaani Rubondo ina maeneo mazuri yenye picha za kuleta radha,siku nyingine Ukipata nafasi hii itumie vizuri ndugu panda boat picha za beach kutokea ziwani,nenda visiwa vya ndege pata picha nzuri,Nenda Irumo picha za mchongoko (ras)wa Irumo sehemu pekee inayoaminika kuwa na kina kirefu ziwa Victoria,bado unaweza panda juu ya ras ya Irumo na kupata picha amazing ya ziwa na baadhi ya visiwa vya maisome
So sijapenda hivi vipicha ulivotuma ambavyo hamvimvutii hata mvuvi wa dagaa kutembelea Kisiwa hiki adimu duniani
Natamani ningelikuwa na picha nikatuma
 
Kwa hiyo hao viumbe wamefungwa?Nntaka nshangae kama hapo ndo segerea yao.

Prison Island ni kama Park, Kuna Makobe makubwa sana,
Na hao wanyama wengine wapo humo humo ndani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…