Ila kwa Rubondo hujaitendea haki ndugu yaani Rubondo ina maeneo mazuri yenye picha za kuleta radha,siku nyingine Ukipata nafasi hii itumie vizuri ndugu panda boat picha za beach kutokea ziwani,nenda visiwa vya ndege pata picha nzuri,Nenda Irumo picha za mchongoko (ras)wa Irumo sehemu pekee inayoaminika kuwa na kina kirefu ziwa Victoria,bado unaweza panda juu ya ras ya Irumo na kupata picha amazing ya ziwa na baadhi ya visiwa vya maisome
So sijapenda hivi vipicha ulivotuma ambavyo hamvimvutii hata mvuvi wa dagaa kutembelea Kisiwa hiki adimu duniani
Natamani ningelikuwa na picha nikatuma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.