Tanzania Parliament in-session!!

Seru-rope naona anachora graph,ngoja amalize tutajua ni graph ya aina gani.
 
bUNGE.jpg
I LIKE THE KAMBA BOY!!!! KAMA VILE KANA MWAGILIA BUSTANI VILE!!!!:twitch:
 
Mkuu Serukamba Big Up! Umetishaaaaaaaaaaaa kichaa wetu! Machizi wote wa kitaa tunakufagiliaaaa! Oh come on, FAT YOU!
 
hii niliipost na wakaiunganisha na post nyingine. ukweli ni kuwa kuwa msanii ni baraka kubwa maana watu wanashinda na kukesha wakiongea laini kapicha kamoja tu kanasummarize kila kitu
 
Mkubwa hapa NImekukubali mbaya, sasa ngoja siwametuchokoza waka sahau hii ni "age of reason".
SHAME UPON THEM CCM.KICHAKA KIMEUGUA.
 
Back
Top Bottom