Tanzania no longer safe for visitors | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania no longer safe for visitors

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kanyafu Nkanwa, Aug 4, 2010.

 1. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa wanataka kutuharibia zaidi shillingi yetu amabyo tayari imeharibika!
  Hivi Kenya wameiweka category gani?


  Tanzania snubs ‘unsafe’ alert


  THE government has trashed claims that Tanzania is an unsafe place to visit and has rubbished allegations that the country’s security is at stake due to ‘terrorist threats and high degree of crimes’ as alleged by a foreign Embassy based in Kenya.

  The Australian Embassy in Nairobi has issued a cautionary note to its citizens travelling and/or living in the country on the current state of security and the general national security ahead of the General Elections scheduled for October, 31, this year.

  A statement posted on the country’s Department of Foreign Affairs and Trade website warns that Tanzania is ‘unsafe’ to stay in due to terrorist attack threats in both Tanzania Mainland and Zanzibar and that the country has high rate of crime.

  The Minister for Home Affairs was not immediately available for comment on the website. But the Deputy Minister, Ambassador Sued Kagasheki, said the information aimed to tarnish the image of the country.

  “We are not happy with such allegations and although we can’t take full control of what is being posted on websites, we cannot as well take such allegations lightly. The information is quite unfair,” he said.

  The Australian Embassy website posted the first cautionary note in March, this year and has been reissuing it as a reminder under what it referred to as ‘the summary and under Safety and Security: Civil Unrest/Political Tension (election-related unrest).’

  “We advise you to exercise a high degree of caution in Tanzania, including Zanzibar, because of the threat of terrorist attack and high levels of serious crime,” reads part of the warning note.

  The note further cautions that in planning their activities, Australians must consider the kind of places known to be terrorist targets which include commercial and public areas known to be frequently visited by foreigners such as hotels, clubs, restaurants, bars, schools, places of worship, airports, marketplaces, outdoor recreation events and tourist areas.

  It directs that extra care should be taken as incidents of civil unrest have been reported with preparations underway for the presidential and Parliamentary elections in October 2010.

  “Political tensions may increase in the run up to and during elections. You should avoid all public rallies and protests as they may turn violent.”

  Minister Kagasheki said the Ministry would ensure security of every citizen and foreigners would be taken care of as it has been the case in previous elections. He said it was unfortunate the website’s caution did not reflect the real situation in the country.

  The deputy minister said Tanzania has been praised for maintenance of peace to both indigenous and foreigners, adding that the caution was intended to sabotage the political and social stability of the country.

  On the general security, the statement alleges that crime, including robbery and petty theft accompanied by violence or threats of violence is common in Tanzania, especially on public transport, in national parks and on beaches.

  It alleges further that crime levels in the Business City of Dar es Salaam and “armed banditry at coastal resorts on mainland Tanzania and on Zanzibar and Pemba Islands are on increase". The statement also cautions on carjacking that ‘occurs throughout the country’ and that driving at night over long distances should be avoided.

  Travellers have also been targeted by thieves in isolated areas. Some criminals use fake police identification cards to request money for alleged offence. The Website also cautions on ‘incidents of armed banditry in national parks in Tanzania, including around Mount Kilimanjaro and the Serengeti National Park.

  'You should take care of your personal security when visiting game parks and reserves.’

  Minister Kagasheki said a special government statement will be issued upon seeing the alleged caution on the website but stressed that the country’s security is stable and the government was on the maximum alert.
  Source: Daily News | Tanzania snubs ‘unsafe’ alert
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sioni sababu ya kuwabembeleza hawa waaustralia, kwanza hawana hata ubalozi bongo..why should we give a fvck? lets continue our grind and hustle.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Something that the Tourism industry should be even more wary of is the Serengeti highway, wazungu na akili zao za kususa sasa hivi wataanza kususia kuja Serengeti na Tanzania.
   
 4. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hawa Australia siwaelewi kwa kweli. Ingawaje sijaona posting yao kwenye embasy yao (inakataa kufunguka hapa) lakini ni uhuni kabisa kuweka maneno mbofu mbofu namna hiyo.

  Ila we Kiranga unasemaje kuhusu ile highway ya srtng?? Mimi nadhani ni lazima ijengwe. hii biashara ya kwamba ni sehemu ya heritage za Dunia kwangu naona kama ni kutaka kuturudisha nyuma zaidi. Nimeenda kule South Africa, mbuga zao zinapitika vema kabisa na barabara ni nzuri sana na watalii wako confortable sana. Ukiwauliza mbona bongo kuna mbuga nzuri zaidi, wanakwambia infrastructure ni mbovu huko kwenu; mtu anaweza umia Serengeti akafia huko huko bila msaada wakati wa masika! Upande wa Masai mara sijaenda, ila nasikia kuna njia nzuri tu mbugani na off road driving inaruhusiwa kule. Sasa iweje sisi tukae na wanyama miezi sita bila kuwaona na hao hao waende Kenya watalii wawaone ati kwa sababu wana barabara nzuri!?

  Inaweza ikafika wakati wakasema hata barabara ya Mtwara Tunduru Songea kwenda Mbinga tusijenge kwa sababu ya Selous! Size ya Selous ni twice the size of Belgium na ni kubwa zaidi ya Switzerland kwa hiyo wakisema tusiweke barabara ina maana ni ukubwa wa wa zaidi ya hizo nchi utakuwa haupitiki ati kwa kuwa ni world heritage site?
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Je wameyatahadharisha makampuni yao wafanyakazi wao kwe sekta za madini pia? Au kwenye madini pako safe kuwekeza.
   
 6. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kusonga mbele, songa usisikilize wengine wanasemaje! its crazy, hiyo barabara ni muhimu kwetu sisi nasi kwa wakenya.
  So I am sure the project will never stop.
   
 7. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Se shouldn't give a damn. They always have this kind of mentallity, they are a generation of criminals, kwa nini wasiseme Nairobi kulikorushwa vuruneti au Kampala kulikolipuliwa na islamist suicide bombers. Tunaweza hata kukatisha uhusiani na wajinga hao.
   
 8. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 180
  Maisha ya binadamu kwanza, sio uhamaji wa wanyama Serengeti. Vipaumbele chini juu juu chini.

  Tanzania tunachinjwachinjwa na majambazi kila kukicha halafu "chemical Kagasheki" mmoja wa serikali anajuka na propaganda za hali ni shwari na sisi rrrrrrrrr...tunaunga tela!
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Hakuna sababu watu wasifanye kitu zaidi ya kimoja kwa pamoja, vyote vikapewa kipaumbele katika nyanja zinazohusika.Ukiwa na mentality hii ya kutoweza kutafuna banzoka na kutembea kwa wakati mmoja dunia hii utakuwa kufanyi kitu, tunataka serikali inayoweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.

  Kuna uwezekano wa kujali maisha ya binadamu na uhamiaji wa wanyama Serengeti kwa wakati mmoja. Ni yule mtu tu asiyeelewa kwamba maisha ya binadamu na uhamaji wa wanyama ni vitu viwili vilivyoungana anaweza kusema "Maisha ya binadamu kwanza, sio uhamiaji wa wanyama Serengeti". Anakuwa hajui kwamba kuchinjwa chinjwa na majambazi kunachangiwa sana na umasikini, unemployment, majeshi yetu ya usalama kutokuwa na resources (vifaa vya kazi, mara nyingine polisi hao hao wasipolipwa mishahara wanageuka majambazi etc) kwa hiyo mtu anayesema hiyo kauli yako anakuwa haelewi kwa mfano, kwamba kwa kujali uhamiaji wa wanyama Serengeti, hata kama wewe si mwanamazingira na hujali mambo ya wanyama, hili ni swala la kiuchumi pia ambalo linaweza kuzidishia taifa kipato, na kusaidia kuongeza vifaa na ruzuku kwa polisi na kupunguza kama si kutatua tatizo la watu kuchinjanachinjana kutokana na umasikini.

  Classic example of myopic view inayofikiri kwamba maisha ya watu hayaendani na mazingira wanayoishi.
   
 10. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kitanga, mimi nadhani kama Mikumi wanyama wanaendelea ku-coexist ba barabara, hakuna haja ya kuwa na woga kwa Serengeti. Hata hao watafiti wa huko Serengeti kama Frankfurt Zoological Society, AWF na wengine wanasema in a short or long rung, migration haiakuwa affected. Tatizo litakuwa kwenye road kills, kama ilivyo Mikumi. Na mikumi ni uzembe tu. Kwanini wasike matuta makubwa ana sehemu za wanyama kuvuka, au timing ya gates. Mambo ya speed ya magari, hasa Sumry na wenzake ni uzembe tu kutoyadhibiti. I mean hatuwezi kukwepa maendeleo kwa kuogopa kujenga highways ati sababu ikiwa kushindwa kudhibiti vitu rahisi kama speed kwenye mbuga za wanyama.
   
Loading...