My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Nina shaka kubwa na Wananchi wa Tanzania Kama ni Binadamu wa kawaida hapa Duniani.
Nahisi wana ukoo au nasaba na aliens, Binadamu wa kawaida huonyesha hisia zao juu ya kadhia yoyote ile.
Watanzania hawako hivyo, mwaka 1998 bei ya mafuta ya Petrol ilikuwa sh 550 kwa Lita na Diesel sh 650 kwa Lita.
Pesa yenye thamani kubwa ilikuwa hii hii noti ya sh elfu kumi.
Leo hii 2020 mafuta ya Petrol kwa Lita moja ni Sh 2500 na baadhi ya miji ni Sh 2700 kwa Pesa hii hii.
Waliokuwepo kipindi kile wapo hadi leo na hawahisi maumivu yoyote ya ugumu wa maisha.
Pesa haina thamani hata kidogo, sh elfu ni sawa hamna tu.
Sukari imepanda nchi nzima bila sababu za msingi, Huduma za Afya ni mbovu, Kama huna pesa ya kutibiwa Private Hospital na unaumwa ugonjwa mkubwa ujue umekwisha.
Watu wamefukuzwa kazi maelfu kwa maelfu na kuporwa mafao yao, ukimya mkosoaji wa serikali wewe ni mhaini unachimba kaburi lako mwenyewe.
Elimu imekufa, Television ya Taifa ina kazi moja tu, kumsifia kiongozi mmoja, mtakatifu asiyekosea.
Ma jobless wamejaa mitandaoni kuisifia serikali iliyoshindwa kuwajibika kwa Wananchi.
Hakika Tanzania imejaa aliens.