TANZANIA NI SHWARI

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
534
Reaction score
506
Saba Saba leo inahitaji amani si machafuko. Maria Sarungi, Mange Kimambi na genge lao wanajaribu kuwatumia vijana kuleta jeraha katika taifa la.Tanzania. Machafuko kama yale ya Oktoba yalituonyesha madhara mengi mno na basi kutojiunga ni kulinda familia yako na nchi yetu tuipendayo. Uzalendo ni kuchagua maendeleo si uharibufu unaoharibu misingi ya maisha yetu. #TumekataaHarakatiZaVurugu
Watanzania Wachagua Amani
 
Ingekuwa maneno hayo yamesemwa na yule msemaji wa mbwa mwitu na tiger weusi ningekuelewa kuwa hali ni shwari,ila wengine walisha tudanganya hivyo wanakazi ya kuijenga imani yetu upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…