Tanzania ni namba 6 kati ya Nchi 15 Wafanyakazi wanakolipwa mshahara mdogo zaidi duniani

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Nchi 15 Wafanyakazi wanakolipwa mshahara mdogo zaidi duniani, Tanzania je ?
http://millardayo.com/ujira56/#respond
cover.jpg

Hakuna ambaye anapenda kipato kidogo na hata Tanzania hivi juzi tumesikia chama cha wafanyakazi ‘TUCTA’ kudai ongezeko la kima cha chini ili kifikie 750,000.

Wakati tukilisikilizia hilo kwa Tanzania, nimekutana na hii orodha ya nchi ambazo kuna ujira mdogo zaidi huku ikitajwa fedha ambayo mtu anaikusanya kwa mwaka mzima

15. Madagascar – $490 sawa na takribani Tsh 1,102,500 kwa mwaka

15.-Madagascar-%E2%80%93-490-per-year.jpg


14. Ghana – $488 sawa na takribani Tsh 1,098,000 kwa mwaka
14.-Ghana-%E2%80%93-488-per-year.jpg


13. Tajikistan – $487 sawa na takribani Tsh 1,095,750 kwa mwaka
13.-Tajikistan-%E2%80%93-487-per-year-1.jpeg


12. The Jamhuri ya Demokrasia ya Congo – $472 sawa na takribani Tsh 1,062,000 kwa mwaka
12.-The-Democratic-Republic-of-the-Congo-%E2%80%93-472-per-year.jpg


11. Liberia – $435 sawa na takribani 97,8750 kwa mwaka
11.-Liberia-%E2%80%93-435-per-year.jpg


10. Malawi – $412 sawa na takribani Tsh 927,000 kwa mwaka
10.-Malawi-%E2%80%93-412-per-year.jpg


9. Guinea-Bissau – $372 sawa na takribani Tsh 837,000 kwa mwaka
9.-Guinea-Bissau-%E2%80%93-372-per-year.jpg


8. Venezuela – $361 sawa na takribani 812,250 kwa mwaka
8.-Venezuela-%E2%80%93-361-per-year.jpg


7. Gambia – $317 sawa na takribani Tsh 713,250 kwa mwaka
7.-The-Gambia-%E2%80%93-317-per-year.jpg


6. Tanzania – $240 sawa na takribani Tsh 540,000 kwa mwaka
6.-Tanzania-%E2%80%93-240-per-year.jpg


5. Bangladesh – $228 sawa na takribani Tsh 513,000 kwa mwaka
5.-Bangladesh-%E2%80%93-228-per-year.jpg


4. Kyrgyzstan – $181 sawa na takribani Tsh 407,250 kwa mwaka
4.-Kyrgyzstan-%E2%80%93-181-per-year.jpg


3. Cuba – $108 sawa na takribani Tsh 243,000 kwa mwaka
3.-Cuba-%E2%80%93-108-per-year.jpg


2. Georgia – $96 sawa na takribani Tsh 216,000 kwwa mwaka
Georgia-Tbilisi-SS.jpg

1. Uganda – $22 sawa na takribani Tsh 49,500 kwa mwaka

1.-Uganda-%E2%80%93-22-per-year.jpg


Source: therichest.com
 
Samahani wakuu, nje kidogo ya mada: Tanzania inaongoza kwa lipi duniani?
Wewe unaeshabikia bila kuhoji, unauhakiki na hili la mfanyakazi wa Tanzania kulipwa dola 240 kwa mwaka? Ni mfanyakazi gani huyo? Hamuwezagi hata kujiuliza tu wenyewe kabla ya kucomment? Au mnazungumzia ma Yaya wa majumbani?
 
Hio takwwimu yako ya karneya ngapi?
Uliaikuajiria ukaona kima cha, chini Tanzania in sh ngapi
 
Back
Top Bottom