The Africa Competitive Report 2013 (Pg 194) inaonesha Tanzania ni nchi ya 80, Uganda ni ya 69 na Kenya ni ya 37 katika UBORA WA ELIMU kati ya nchi 144. Mm kama mtanzania mwenzenu naskitika sana kuona JK akiendelea kuteua Mawaziri wasio kuwa na vyeti halisi katika sekta hii nyeti. Na mpangilio mbovu wa madaraja unao letwa ili kuficha udhaifu kwa lengo la kujijenga kisiasa huenda kujisafisha kwa lengo la uchaguzi ujao mwaka 2015.
Pia natumia mwanya huu kuondoa ukungu ulio tanda machoni mwa watu wakidhani elimu yetu (Tanzania) ni bora kuliko ya Uganda.
Utafiti pia unaonesha Tanzania ni kinara wa Matatizo kama : Rusha 16.3%, ukosefu wa mitaji au fedha za kuanzisha biashara 15.6% , Ukosefu wa miundombinu bora 10.8%, mfumko wa bei 10.7%, Urasimu wa vyombo vya serikali 8.0%, nk.
mKOLONI ALIPO ONDOKA NCHINI ALIACHA SHERIA YA KUWA . kILA MWALIMU LAZIMA APITIE CHUO CHA UALIMU NA KUPATA CHETI NDIPO AFUNDISHE. sasa hapa Tanzania Nyerer alifuta hilo mwaka 1977 ambapo alianzisha ualimu wa UPE kila dalasa la saba lazima afundishe bila kupitia chuoni, sasa hapo wewe unategemea nini? tena baada ya kugundua kuna uhaba wa vyuo vya ualimu na walimu nchi nzima, yeye alikwenda jenga jumba la mikutani Chimwaga kwa ajili ya mikutano ya chama la ghalama ya zaidi ya bilion za mabilion, wewe hapo unategemea nn?The Africa Competitive Report 2013 (Pg 194) inaonesha Tanzania ni nchi ya 80, Uganda ni ya 69 na Kenya ni ya 37 katika UBORA WA ELIMU kati ya nchi 144. Mm kama mtanzania mwenzenu naskitika sana kuona JK akiendelea kuteua Mawaziri wasio kuwa na vyeti halisi katika sekta hii nyeti. Na mpangilio mbovu wa madaraja unao letwa ili kuficha udhaifu kwa lengo la kujijenga kisiasa huenda kujisafisha kwa lengo la uchaguzi ujao mwaka 2015.
Pia natumia mwanya huu kuondoa ukungu ulio tanda machoni mwa watu wakidhani elimu yetu (Tanzania) ni bora kuliko ya Uganda.
Utafiti pia unaonesha Tanzania ni kinara wa Matatizo kama : Rusha 16.3%, ukosefu wa mitaji au fedha za kuanzisha biashara 15.6% , Ukosefu wa miundombinu bora 10.8%, mfumko wa bei 10.7%, Urasimu wa vyombo vya serikali 8.0%, nk.
The Africa Competitive Report 2013 (Pg 194) inaonesha Tanzania ni nchi ya 80, Uganda ni ya 69 na Kenya ni ya 37 katika UBORA WA ELIMU kati ya nchi 144. Mm kama mtanzania mwenzenu naskitika sana kuona JK akiendelea kuteua Mawaziri wasio kuwa na vyeti halisi katika sekta hii nyeti. Na mpangilio mbovu wa madaraja unao letwa ili kuficha udhaifu kwa lengo la kujijenga kisiasa huenda kujisafisha kwa lengo la uchaguzi ujao mwaka 2015.
Pia natumia mwanya huu kuondoa ukungu ulio tanda machoni mwa watu wakidhani elimu yetu (Tanzania) ni bora kuliko ya Uganda.
Utafiti pia unaonesha Tanzania ni kinara wa Matatizo kama : Rusha 16.3%, ukosefu wa mitaji au fedha za kuanzisha biashara 15.6% , Ukosefu wa miundombinu bora 10.8%, mfumko wa bei 10.7%, Urasimu wa vyombo vya serikali 8.0%, nk.
Sina uhakika sana unaposema elimu yetu (Tanzania) inazidiwa ubora na Uganda, ninavyojua mtu akifeli Tanzania anaenda Uganda kuendelea na masomo. Marafiki zangu walipata zero (currently Division 5) mwaka 2004 wakaenda Uganda wakaendelea na Form V kama kawaida. Pia nikiwa chuo (SUA) kuna washikaji kibao walikimbilia Uganda kumalizia Degree zao baada ya Ku-disco, Pia hata sasa hivi ukitaka kupata uhakika uliza mtu yoyote ambaye yupo hapo chuoni atakwambia watu wanavyokimbilia Uganda kumalizia course zao.
Inawezekana report hiyo ilijikita kwenye suala la mazingira ya usomaji kama kuwa na library, walimu wa kutosha, etc.. Lakini kwenye kumeza wa Tz bado tupo juu sema miaka ya hivi karibuni hawa ma-waziri wamekuja kutushusha kielimu kabsa.

Yawezekana kuna mengine ya kweli katika maneno yako ila la mfumuko wa bei si tumeambiwa jana tu kuwa ni about 6%? Hiyo ya kwako si imepitwa na wakati jamaa? Halafu hakuna kitu kinaudhi kama hiyo headline yako!! Nina wasiwasi kama we kweli ni Mtanzania!!!