Sasaa,me sijaelewa,kutajwa kwa Tanzania huko holywood kunamsaidiaje mtanzania wa kawaida aliyeko pale masurura-musoma vijijini kuondokana na baa la njaa linalomkabili kutokana na ukame?

Kwanza inatangaza taifa duniani leo hii unajua cuba je ulishawahi kufika?
Pili kutoa location tu kuna commission balozi ya nchi husika wanatoa kama kodi, unataka kusema kina diamond south wanaact bure?
Hv ww ni mtanzania kweli? be proud amigo!