shikulaushinye
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 828
- 456
Habari za asubuhi,
Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na maziwa makubwa 3 na bahari ya Hindi. maziwa hayo ni:
1. Ziwa Tanganyika lefu kuliko yote barani Afrika la pili Duniani lenye kina kirefu wastani wa 1,470M (4,820 ft) na maji safi yasiyo na chumvi duniani. 98% ya samaki wanaopataikana katika ziwa Tanganyika hawapatikani sehemu nyingine yoyote duniani. Kuna samaki wakubwa ambao hawajawahi kuvuliwa kwaani wanapatikana kwenye kina kirefu kuanzia mita 180 kwenda chini.
2. Ziwa Victoria: Ni ziwa kubwa kuliko yote barani Afrika ziwa hili lina samaki maarufu sangara na sato wanaosafirishwa kwenda nchi za Ulaya.
3. Ziwa Nyasa: Ziwa hili ni la 9 kwa ukubwa Duniani na la pili kwa kina kirefu duniani.
4. Ziwa mengine madogo: Ziwa Rukwa, Ziwa manyara, ziwa Eyasi, Ziwa Natron, Ziwa burigi, Ziwa Jipe, ziwa Babati, Ziwa ambussel na ziwa chala.
5. Bahari ya Hindi: Bahari ya hindi ina samaki wakubwa sana kwenye kina kirefu, nchi za Asia hasa China wanavua samaki aina ya tuna na kuwauza Ulaya kwa pesa nyingi sana. Pia mara nyingi sana wachina huingiza sokoni samaki aina ya vibua. Hata sasa wapo sokoni.
Kwa kuwa Tanzania haina vifaa vya kuvua samaki kina kirefu samaki hufa kwa uzee tofauti na nchi nyingine zinazoitumia fursa hii vizuri.