Mavi tu ,Inteligency ya kuwinda na kuua wakosoaji wa serikali haramu na uozo wa serikali feki ya ccm. Tishio LA usalama Tanzania ni serikali haramu feki ya ccm na si kingine
Jeshi imara la kuuwa raia wake. Juzi kati hilo jeshi mdebwedo askari wake walitekwa na M23 wakiwa kwenye operation Congo DR.
Wakapelekwa Rwanda wakadhalilishwa sana na askari wa Kagame huku wakirekodiwa video.