Tanzania na Tatizo la Maji

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093


Nchi imejaa mito kila kona na maziwa kila mkoa, lakini ona mwenyewe tulipo.
 
How long will it take to drink water like this? Till 2015


 


Je hii haki kwa kina Mama kutumia masaa zaidi ya Mawili kutafuta Maji?
 
Hiki ni Kisima cha Maji,

Mtoto akitumbukia hapa, kuna uhai?



 
How good and how pleasant it is for Tanzanians to share water with animals!!!!!


 
Bado tuna safari ndefu sana,viongozi wetu wakati huo wanasema "Upembuzi yakinifu unafanyika"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…