Tanzania na Siasa butu

Dinipevu

Senior Member
Mar 15, 2011
100
31
Wakati umefika kabisaa,kubadilisha siasa kutoka siasa za matukio mpaka siasa za kutengeneza matukio na hili laweza kuharibu ustawi wa jamii.
Wapinzani wanaanza kuiharibu jamii kwa kuigeuza siasa ni sehemu ya ajira ya milele.
It is my take.....STOP THEM IMMEDIATELY
 
Attachments

  • 1467269142476.jpg
    1467269142476.jpg
    29.6 KB · Views: 35
Wakati umefika kabisaa,kubadilisha siasa kutoka siasa za matukio mpaka siasa za kutengeneza matukio na hili laweza kuharibu ustawi wa jamii.
Wapinzani wanaanza kuiharibu jamii kwa kuigeuza siasa ni sehemu ya ajira ya milele.
It is my take.....STOP THEM IMMEDIATELY
HELI UMELIONA WEWE MKUU NDO SIASA ZETU MTU YUKO TAYARI ATUKANE VIONGOZI AU JESHI LA POLISI WAMSHIKE WAMPELEKE MAHABUSI AKITOKA UTASIKIA HATA MANDELA ALIFUNGWA NIKO TAYARI KUFUNGWA KWA KUWATETEA WANANCHI KIUKWELI NI KUTAFUTA UMARUFU WAKUENDELEA KUWEPO KWENYE SIASA ZA UCHWALA WA SI KUWATETEA WANANCHI.
 
Wakati umefika kabisaa,kubadilisha siasa kutoka siasa za matukio mpaka siasa za kutengeneza matukio na hili laweza kuharibu ustawi wa jamii.
Wapinzani wanaanza kuiharibu jamii kwa kuigeuza siasa ni sehemu ya ajira ya milele.
It is my take.....STOP THEM IMMEDIATELY
unaongelea wapinzani wepi maana ccm in wapinxani was chadema na chadema ni wapinzani wa ccm, hata hivyo kwa uzoefu wangu wa kuishi nchini Ccm ndo wanafanya siasa butu
 
hizi post kutoka Lumumba zenye maelekezo toka ikulu eti ndo zinajaribu kudivert upepo wa kisiasa, ili kulinda usanii na utapeli wa ccm, tuna safari ndefu huko tuendako
 
Mkiambiwa "hovyo" mnakasirika, lakini there is no better word, mawazo yenu na filosofia zenu ni za hovyo, ndiyo maana Tanzania yetu ipo hapa ilipo. Hata hoja kwamba vyama vya siasa visubiri kufanya siasa baada ya miaka mitano ni ya hovyo na inatolewa na watu wa hovyo.
 
Wakati umefika kabisaa,kubadilisha siasa kutoka siasa za matukio mpaka siasa za kutengeneza matukio na hili laweza kuharibu ustawi wa jamii.
Wapinzani wanaanza kuiharibu jamii kwa kuigeuza siasa ni sehemu ya ajira ya milele.
It is my take.....STOP THEM IMMEDIATELY
93e508fc.jpg
 
Back
Top Bottom