Huyo wa Rwanda anakuwa Balozi full wa TanzaniaMilitary Attaché?
Hello!
Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda.
Je, nchi hizi 2 zinatishana ?
Je, kuna nini kinaendelea?
Ni sawa nchi za ukanda mmoja (East Africa countries) kufanyiana umafia hivi?
View attachment 2922211
Kule Msumbiji lilienda jeshi zima la Rwanda?Rwanda kw sasa ni hatari aisay ukubwa wa nchi si reason ya kushinda vita.
Vita ni vita tu Rwanda wako vizuri kwa sasa we nieleze Tanzania kapigana vita ya mwisho lini?
Kupeleka baadhi ya wanajeshi wa kikosi kimoja kupigana na M23 si reason ya kuamini sana JWTZ
We huoni Rwanda alivyo wasaidia Msumbiji, wako vizuri sana
Kagame toka ashike Rwanda hajawahi zalisha mkimbizi hata mmoja kuja Tanzania tofauti na huko nyuma ambako mamilioni ya wakimbizi walizalishwa kuja TanzaniaKagame, kaanza kuchoka akili. hapa anajitengenezea mtu wa kumpindua. kwa historia ya Tanzania.
Nyie watusi mnahisigi Rwanda anaweza fanya chochote kile kwa Tz ? amakweli nyie ni mamburula, Kambi 3 tu za Kigoma zinatosha kuiadabisha Rwanda kwa siku 3 tuuRwanda kw sasa ni hatari aisay ukubwa wa nchi si reason ya kushinda vita.
Vita ni vita tu Rwanda wako vizuri kwa sasa we nieleze Tanzania kapigana vita ya mwisho lini?
Kupeleka baadhi ya wanajeshi wa kikosi kimoja kupigana na M23 si reason ya kuamini sana JWTZ
We huoni Rwanda alivyo wasaidia Msumbiji, wako vizuri sana
Kagame yuko kwenye dilemma angeweza kabidhi nchi hata kesho kwa new generation kikwazo hao magenerali wa vita atawapeleka wapi wawe na uhakika wa usalama na kuwa comfortable?Kagame, kaanza kuchoka akili. hapa anajitengenezea mtu wa kumpindua. kwa historia ya Tanzania.
Hakuna haja ya kuwa na hofu.Hello!
Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda.
Je, nchi hizi 2 zinatishana ?
Je, kuna nini kinaendelea?
Ni sawa nchi za ukanda mmoja (East Africa countries) kufanyiana umafia hivi?
View attachment 2922211
Mwanafunzi akijiendeleza sehemu nyingine tofauti tofauti anakuwa mzuri kuliko Mwl wake,Mafunzo ya jeshi la Rwanda yamepatikana Monduli,mwanafunzi hawezi kuzidi mwalimu.
Hivi watu Kama ninyi Elimu yenu ni kiwango gani? Vp upeo wako kwenye Geopolitics na Military knowledge ?Mwanafunzi akijiendeleza sehemu nyingine tofauti tofauti anakuwa mzuri kuliko Mwl wake,
Rwanda wako vizuri kuliko Tz,
TZ tu Kigogo na Mange Kimambi serikali ilishindwa kuwapata 2016-2021,
Kipimo kidogo ni hiki,
Angalia Rwanda walivyo wazuri kwenye intelejinsia yao, wapinzani wa serikali wanaokimbilia nje wanashuhhulikiwa huko huko.
Hakuna umafia hapo, ni mawazo ya watu tu, kuogopa vivuli vyao,Hello!