Tanzania na mifuko lukuki ya hifadhi ya jamii

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
630
Reaction score
285
Salamu wakuu!
Kwa uchunguzi wangu wa haraka, Tanzania huenda ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na mifuko mingi ya hifadhi ya jamii. Ifuatayo ndiyo mifuko ya hifadhi ya jamii hapa JMT: NSSF, PPF, LAPF, PSPF, GEPF. Kutokana na mlolongo huu wa mifuko ya hifadhi ya jamii, kumetokea tofauti kubwa katika ukokotoaji wa mafao ya mwanachana na aina ya mafao yatolewayo hali iliyopelekea kunyanganyana wanachama kati ya mifuko hiyo. Kuanzishwa kwa Social Security Regulatory Authority (SSRA) kulilenga kuleta harmony katika sekta hii jambo ambalo limeshindikana.
Swali je kwa nini tusiwe na mfuko mmoja tuu badala ya kuwa na mlolongo huu wote hadi kulazimika kuwa na regulatory authority?
 
Tatizo ni mfumo mbovu wa utawala uloko madarakani.Utashangaa unaibuka mwingine uitwao ccm
 
huo wa ccm mbona kaacha tu kuutaja.
 
Heshima kwenu wanajamii,. Mimi nimejiajiri yan nafanya shughuli binafsi lakini natamani sana kujiunga na hii mifuko ya jamii,swali: 1. Je inawezekana nikiwa sijaajiriwa?. 2. Ni mfuko upi mzuri hapa tanzania?. 3. Kama inawezekana kujiunga,nachangia shilingi ngapi kwa mwezi?. Asanteni sana
 
Naungana nawe mtoa hoja kama kungekuwa na mfuko mmoja ingekuwa rahisi sana kuendesha pia hata fao la kujitoa lisingekuwepo maana National Social Security Fund ingeweza kuwalipa waliopoteza kazi mpaka baada ya kupata nyingine kama vifanyavyo nchi nyingi zilizoendelea.
 
Back
Top Bottom