Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Leo tuangalie idadi ya kodi zinazotozwa na mamlaka mbalimbali za Serikali kwa mtu mwenye biashara ndogo ya hotel!
1.Kodi ya huduma(service levy)
2.Kodi ya ardhi(land rent)
3.Kodi ya jengo(Property tax)
4.Clearance tax
5.Kodi ya mapato
6.Leseni ya biashara
7.Leseni ya kuuza pombe(Liquour licence)
8.Examination fees
10.TFDA
11.Fire(Mtungi wa fire)
12.Taka ngumu
13.
14.
15.
Endelea kuorodhesha........................
Bahati mbaya sana kodi zote hizo kwa mtu mmoja zinazotozwa na mamlaka mbalimbali,na ofisi zipo mbalimbali jambo ambalo ni kero kwa mfanyabiashara.Ni muda mwafaka sasa kuwa na (one stop center)
#ONESTOPCENTER
Liwe jengo la serikali ambalo mamlaka zote zitakuwa hapo ili kumrahisishia mteja namna ya ulipaji,hii itaongeza mapato kuliko kupandisha bei za bidhaa kila siku
#fikiriTofauti
nanyaro EJ