lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,468
- 21,904
Japo itachukua muda mrefu pengine hata vizazi na vizazi lakini hii ilitegemewa kwa sababu bonde la ufa ni changa na bado linaendelea kukua. Ufa huu unahusisha nchi kama nne ambazo ni somali, sehemu ya Ethiopia, Kenya na Tanzania.
Ikikamilika sehemu ya bonde la ufa litageuzwea kuwa bahari na hivyo hizi nchi nilizozitaja zitakuwa kama kisiwa kama ilivyo Madagascar
Kuna uwezekano aidha ikaichukua Tanzania yote au ikaigawa Tanzania katikati. Lake zone na Western zone zikabakia magharibi na Northern, eastern na southern zones zikahamishiwa kwenye makazi mapya