Tanzania mpya

Elimu elimu elimu.
Huko kutekeleza kwa macho kungeendana na hali halisi ya maisha tungewapa bigup.
Kilimo kingeboreshwa, shule na mfumo wa elimu pia huduma ya afya hadi vijijini badala ya hospitali kubwa kubwa mijini, na utawala bora. Haya yatakuja tu, haraka ya nini? Kuna vizazi na vizazi TZ itaendelea kubaki sisi wa leo tutapita.
Tujenge maendeleo yenye misingi endelevu, badala ya hivi kusubiri kusema tumetekeleza, hata hatujui ajae atataka kutekeleza nini!
 
Bila upinzani ccm ilikuwa imelala usingizi wz pono, hongera sana upinzani
 
Serikali inabidi sasa ibadilike. Isitumie uelewa mdogo wa watanzania kutujengea majengo ya uma yenye hadhi kama hiyo. Majengo gani sasa hayo kama nyumba za uswahilini? Serikali jengeni majengo yenye hadhi ya uma. Majengo ya uma kwa nchi zilizoendelea yanajionyesha menyewe. Sio vibanda kama hivi vya kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…