tity
Member
- Oct 16, 2015
- 44
- 15
1. Naona wawekezaji wengi wakifunga makampuni yao na kukimbia nchi.
2. Naona mzunguko wa pesa ukipungua kwa kasi kikubwa.
3. Naiona tanzania yenye watumishi wengi wa uma wakiwa na maisha duni.
4. Naona biashara nyingi zikidoda (manunuzi kupungua)
5. Naona watanzania wengi wakikimbilia vijijini baada ya kushindwa kuishi mjini.
6. Naona ajira kwenye mashirika binafsi zikiwa adimu sana kuliko za serikalini.
7. Naona shilingi ikiimarika lakini maisha kuwa duni sana.
8. Naona ongezeko la wizi, makahaba, watoto wa mtaani na mateja.
"HIKI NDICHO NINACHOKIONA MIMI SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI"