Tanzania Mpya iwe ya aina gani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Mpya iwe ya aina gani??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyantella, Mar 4, 2011.

 1. n

  nyantella JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Wana JF tumekua tukijadili masuala ya kitaifa ya muda mfupi, matatizo ya kitaifa ya kiuchumi na kijamii, lakini kwa wakati huu hatujui nchi yetu itakadi gani au ni ipi political style itakayo tutoa hapa tulipo. Ofcourse tunajua vile vile kwamba hili ni kati ya mambo yatakayo tatuliwa na Katiba mpya tunayo jiandaa kuandika ukiachilia mbali dira ya nchi vision 2025.

  Tukiangalia duniani kwa wakati huu, mimi aina ya serikali ambayo ninai-admire ni kama ya Singapore, hawa jamaa miaka michache tu iliyopita tulikuwa sawa nao, sasa hivi wako mbali sana na si kwamba wana mafuta! in fact hawana natural resources zozote!! wao wameamua kutoa value added services tu ikisaidiwa na a very commited political system and will.

  TZ tuna natural resources za kutosha what we lack is the direction, commitment and political will. kwa kifupi wana JF mbali na masuala mengine ya kisiasa nchini lets spend sometime and visionalize the future TZ, tunataka iweje? Assuming that we have overcome the UFISADI and CORRUPTION cancer!!!!
   
Loading...