Dogo Tundu
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 448
- 189
oooh safi sana. Sasa Mwamnyange anaweza vipi kukinukisha wakati inaonyesha masuala ya kiusalama jeshini yana check and balance katika muondo na mfumo wake ya hali ya juu. Inaonyesha kabisa kuna mageneral wakubwa wajeshi ambao wanaweza wasimtii kama sio amri halali, kufanya uhaini kwa mfano.
vp huyu mwakibolwa naye ni wa kitengo hicho.mana swala la kuwafurumusha m23 limempatia ujiko kweli.
mkuu toa facts ni uzalendo upi walio nao TISS kuhusu viongozi wanaoliangamiza taifa..
Muulize OLESAIDIMU atakwambia.
kwa nini hawa wanakua ffu na landrover yao kwenye msafara ya rais. Mimi na shauri kuongeza/kuimarisha ulinzi wangetumia na wale mp wa jwtz.
Unajua kazi ya kikundi cha FFU?
mwakibolwa ni jasus na ni mi
Ninavyo elewa mimi ni hii ya kutuliza ghasia kama tunavyo waona wakifanya kwenye maandamono yasiyo fuata sheria. Lingine ni ulinzi wa viongozi kama tunavyo waona kwenye misafara ya viongozi na majumbani mwao.
Mkuu watu wa usalama I mean TISS and MI hufundishwa uzalendo wa hali ya juu kuhusu nchi yao na wamebeba siri kubwa za nchi na kuna mambo n ya siri hayawez kusemwa hapa ,ila kiuhalsia wao hufanya kaz zao kutokana na weledi juu ya taifa lao, na unapoona tukio lolote la kihalifu au uhujumu uchumi taarifa zinakuwa tayari zishafka mahala husika ,sema viongoz ndio u delay kuchukua maamuzi hvyo kuonekna kuwa wao ndio wanapwaya la hasha,
E.g n ishu ya Richmond taarfa juu ya mipango haramu iliyokuwa inafanyka juu ya huo ufisadi taarfa zilifka mapema na tena zilifkishwa na tiss senior na ndio Raman nzima ilijulikna japo kuna mambo n confidential,pia kumbuka ishu ya kusafrisha madawa ya kulevya kupitia maiti ktoka Zambia ikaja kamatwa ikikarbia iringa
So TISS wako vizuri mkuu ila ishu n uadilifu wa viiongoz kuchukua maamuz ya kudhibiti ,kwani wao kaz yao ya usalama na udukuz hufanyika kwa wakati
Mkuu mara nyingi issue hii huwa tunazungumza hapa lakini kama ulivyosema kutokana na sababu za kiusalama hay=uwezi kusema yote.
Kwenye suala la katiba ajabu ni kuwa TISS haikuzungumzwa kabisa kwa sababu ambazo hazijulikani. Ujinga na upungufu kwenye usalama Tanzania hautokani na udahifu wa TISS, bali unatokana na muundo tulio nao wa kufanya maamuzi. Kama kukiwa na njia nzuri ya kuwafanya jamaa wafanye maamuzi na kuchukua kwa muji bu wa Inteligence nadhani tusingekuwa na ujinga unaofanyika leo.
Kwa mfano leo tukiwaomba TISS watuambie hadharani wanajua nini na walijua lini kuhusu ESCROW, Richmond, EPA etc etc etc na walichukua hatua gani na kwanini, kilio kitarudi kule kule kwenye katiba. Labda wanasiasa wengi ambao walitakiwa kufanya maamuzi kutokana na taarifa walizopoewa, leo tutakiwa tunajiuliza kwanini bado wako madarakani.
Harnessed!!!!!
Dhima kubwa ya wao kukaa lindo ni kwa sababu wanamafunzo ya hali ya juu kukabiliana na ghasia..iwe kwenye ziara, msafara au nyumbani kwa kiongozi...ndiomaana unawaona wapo kwenye msafara wa Rais pia.
Uwepo wa MP kutoka JWTZ kwenye msafara wa Rais wakati hayupo kwenye eneo la kambi ya jeshi ni ishara kua eneo husika sio salama sana...hapo ndio utawaona wanajeshi wenye mafunzo ya kutosha kulinda viongozi wa ngazi za juu wanakuwepo ulingoni..
**Kwa mtazamo wangu tuu....:A S wink:
Mko sawa wadau lakini bila kugusa taarifa za ndani kabisa ya hizi taasisi muhimu katika taifa letu. Jambo ambalo linahitajika kufahamika kwa wananchi ni kuhusu tasnia ya uzalendo ktk taasisi hizi juu ya utaifa, nikimaanisha tulipotoka na tunapoelekea ktk nyanja za siasa, uchumi, ulinzi na teknolojia. Na ni hatua gani wanachukua pale mashauri yao yanapochelewa au kutofanyiwa kazi kabisa..??Mkuu mara nyingi issue hii huwa tunazungumza hapa lakini kama ulivyosema kutokana na sababu za kiusalama hay=uwezi kusema yote.
Kwenye suala la katiba ajabu ni kuwa TISS haikuzungumzwa kabisa kwa sababu ambazo hazijulikani. Ujinga na upungufu kwenye usalama Tanzania hautokani na udahifu wa TISS, bali unatokana na muundo tulio nao wa kufanya maamuzi. Kama kukiwa na njia nzuri ya kuwafanya jamaa wafanye maamuzi na kuchukua kwa muji bu wa Inteligence nadhani tusingekuwa na ujinga unaofanyika leo.
Kwa mfano leo tukiwaomba TISS watuambie hadharani wanajua nini na walijua lini kuhusu ESCROW, Richmond, EPA etc etc etc na walichukua hatua gani na kwanini, kilio kitarudi kule kule kwenye katiba. Labda wanasiasa wengi ambao walitakiwa kufanya maamuzi kutokana na taarifa walizopoewa, leo tutakiwa tunajiuliza kwanini bado wako madarakani.
Hivi kuna tofauti gan kati ya Jasusi na Shushushu?
totally unharnessed!!
asante mkuu@The Intelligent nin swal lingine hapo,vp mafunzo yao kat ya TISS na IM kwa maana mafunzo yao ni ya aina moja au kuna tofauti katika mafunzo yao ya ukusanyaji taarif mbalimbali?
dah!hil ni zaid somo mkuu@The Intelligent, ina maana kwa baadhi ya taarif zao hua zinaingiliankw kutegemean na mambo husika ya ndan ya nchi?