Huyo JK si alijifanya kudume kuwafokea mabalozi juzi. Sasa wamekatia misaada ili apate akili.
Swali la kizushi:
Hivi sasa national debt ni kiasi gani?
Kwa nini IMF wanatuwekea kiasi gani tunaweza kuborrow kama serikali?
Hivi nani anatazama hizi fiscal policies zetu? Nauliza kama vile watchdog ni nani na ripoti zao ziko wapi?
Je kamati ya ZITTO inasemaje kuhusu hili?
jibu kwa angle ingine .... wahisani wanazuia misaada yao, serikali inaona njia rahisi ni kukimbilia kwenye mikopo ambayo mingi ina masharti magumu au mibovu (ndio maana haiwekwi wazi) .... kulipa itakua shughuli mwishoni tutaishia kuwapa hao hao wakopeshaji rasilimali zetu kama madini, gas na mafuta kwa bei ya kutupa kufidia interests za mikopo hiyo migumu (kumbuka hii mikopo kulipika kwake ni shughuli so tutakua tunapooza interests tu)!
JK ni Rais bora na aliyeleta maendeleo makubwa kuliko Rais yeyote aliyewahi kutokea Tanzania...
Miradi ya BIG RESULTS NOW ndio inayopewa kipaumbele
je ni miradi ili hiyo na inahitaji kiasi gani?
je kuna namna ya kujua kama serikali bado inatoa guarantee kwa jili ya kupata pesa za wachina?
kwa nini serikali haiweki wazi ni miradi ipi inatoa guarantee na kwa asilimia ngapi?
bado nataka kujua debt limit yetu ni kiasi gani?
jibu kwa angle ingine .... wahisani wanazuia misaada yao, serikali inaona njia rahisi ni kukimbilia kwenye mikopo ambayo mingi ina masharti magumu au mibovu (ndio maana haiwekwi wazi) .... kulipa itakua shughuli mwishoni tutaishia kuwapa hao hao wakopeshaji rasilimali zetu kama madini, gas na mafuta kwa bei ya kutupa kufidia interests za mikopo hiyo migumu (kumbuka hii mikopo kulipika kwake ni shughuli so tutakua tunapooza interests tu)!
Unaumwa n na tumbo kajisaidie unawezaje kumfananisha na Nyerere au hata Mkapa?JK ni Rais bora na aliyeleta maendeleo makubwa kuliko Rais yeyote aliyewahi kutokea Tanzania...
YOur attack on BRN haina maana... Jifunze zaidi BRN ni nini na set up yake ikoje na nani anayeifund BRN, hakuna pesa ya Jakaya pale
One president trip to the US inaspend more than BRN na other miradi combined
Tuna shida kubwa, nchi iko broke, lakini bado tunatoa misamaha ya kodi, tunatumia pesa kwenye starehe na kufadhili mabonanza etc
Sijui kama Tanzania tuna hata debt ceiling, maana rais ajaye anaweza kuta nchi imetangazwa bankrupt na wazungu wanakomba vitu bure in the name of kujilipa madeni yao
Na kesho kutwa anaenda China