Tanzania Mabadiliko ni sheria ,sera na Mfumo ;Yako wapi

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Niliwahi kusema moja ya Mabadiliko tunayoyataka siyo ya Nchi kujengwa Na MTU Mmoja !

Mabadiliko tunayoyataka siyo ya kuongoza Nchi kutoka dar es salam.

Mabadiliko tunayoyatakaa ni ya kisheria kisera Na kimfumo !

Huwezi Kuendesha Nchi
kwa kutumia Sheria moja
kutoka arusha hadi Ruvuma au kagera mpaka dar !

Tanzania tumekwama hapo !
Ndo maana hata wakati wa mgogoro wa Nani achinje Na asichinje viongozi ndio walioukuza !

Lakin kudhani Tanzania ndivyo ilivyo unavyodhani unatengeneza tatizo !

Kuna baadhi ya sheria zinaweza kutumika kote lakini sio zote !

Maeneo ya mjini hasa yenye
Viwanda vidogovidogo kama
dar watu anaingia kazini zamu ya usiku asubuhi amepunzika
amekaa anapata supu pale baa Na kucheza bao !

Unamkamataje ?

Unamwekaje ndani pasipo
Mhusika kuandika maelezoyake/
na wewe kuandika maelezo ya kumkamata Na kama sheria inavyotaka ?

Kuna ugumu gani kwa serikali
kupeleka mswaada bungeni
ili kufanya mabadiliko ya sheria ,

watu wawekwe "kizuizini" kwa SAA 48 Badala ya kuongozwa Na amri ?

Kwa maoni yangu :

Tukumbuke amri sio sheria
inaweza kitumika vibaya ,

Tanzania sivyo ilivyo!

Tuchukue hatua kabla watu hawajaumia !
 
Pole sana,wapiga kura ni wa maana pale tu wanapomaliza kipindi cha utawala na wanakuja wakipiga magoti.Kwa sasa wache watupige tu maana hatuna maana.Lofa atakuwa lofa kama ataaua kuukubali ulofa kwa kuamua kumpa lodi lofa ulaji
 
Back
Top Bottom