Ukishakuwa na viongozi mbumbumbu kama hawa wa CCM usitegemee kuwa na miundombinu bora. Wao wanadhani miundombinu bora ni anasa na kwamba watanzania tumezaliwa kwa ajili ya kupigwa vumbi. Kuanzia barabara za mitaani tunakoishi hadi ile kubwa ya kitaifa Morogoro road, zote ni majanga. Kikwete ni janga la kidunia