Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.
Bora magazeti ya udaku kuliko magazeti ya CCM. Ss wakuja huwa hatusomi haya magazeti tumewaachia nyie wa mjini. Endeleeni mjadala!Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.
Ezan tries to delete this Post.Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.
Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.
Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.
Dhana ya maisha bora kwa kila Mtanzania, wa nje wanaiona Watanzania wasiyoona wanabaki kulalama. Wageni wanaziona fursa, wanajazana hapa, si wazungu, si waarabu, si wazungu, si wahindi, si waafrika, Wamejazana.
Juzi juzi nilikuwa na Gozi langu Handeni, tukafikia pale kwa Mheshimiwa Abdallah Kigoda (Bwawani Hotel), tukakutana hapo na waEthiopia, wako kwa muda mrefu, katika mazungumzo nao wakasema "tumekuja kutajirika Tanzania" watu hapa wana mali lakini hawazioni, wamelala. Sikuwashangaa kwani wao si wa kwanza kuwasikia wakisema kama hayo. Mimi ni Mtanzania lakini nnadiriki kusema Watanzania wengi sana wamebweteka na wapo kwenye usingizi mzito sana. Na "ukimuamsha aliyelala utalala wewe". Laleni na fursa msizione.
fact ni kwamba uchumi wa tz unamilikiwa na wahindi & foreigners. Hawa waindi wanajifanya watz just for business purpose only. Hii data si sahihi.
Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.
tumeyaona mama usitokwe na matehe Legatum Institute noted that Tanzania does not encourage innovation as it fosters almost no innovative activity.
Hiyo kwa Abdallah Kigoda ni Hoteli na jina nimeliweka hapo, na isikustuwe sana kwani chumba cha double ni 20,000/= tu kuna kulala hoi zaidi ya hapo? Unanchekesha! au uliposikia kwa Kigoda ukajuwa ni kama Kempinski?
Mtabaki kulalama mnaibiwa wakati wenzenu wanafanya kweli. Nyie kaeni tu, sisi tunaoziona fursa tunazitumia ipasavyo na mnaolalamika tutaendelea kuwaajiri na hamna zaidi mtaendelea kulalamika kwa kuwa ni wavivu wa kutupwa, mnangoja mpikiwe; mpakuliwe, mlishwe. Nyie kaeni mngoje handouts.
Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.
hii post ngoja niihifadhi maana najua ni fimbo itayokucharaza wewe mwenyewe hapo baadaye...nimekapenda sana hako ka sentence ka mwisho.Hiyo kwa Abdallah Kigoda ni Hoteli na jina nimeliweka hapo, na isikustuwe sana kwani chumba cha double ni 20,000/= tu kuna kulala hoi zaidi ya hapo? Unanchekesha! au uliposikia kwa Kigoda ukajuwa ni kama Kempinski?