- Thread starter
- #21
Kilichowekwa Ni sample tu, lakini ni zaidi ya vilivyotajwa. Nakuwekea hapa chombo kingine cha Africa Mashariki. Unataka cha bara gani Tena ili kukamilisha Dunia?Hivyo vyombo vyote haviwezi kumiliki sifa ya vyombo mbali mbali duniani bali vinao uwezo wa kumiliki sifa ya vyombo mbalimbali vya Mashariki ya Kati, Ulaya na Marekani! Tena bahati mbaya sana vyombo hivi vina mlengo wa upande mmoja dhidi ya Tanzania! Sasa, vinginevyo, ueleze umma wa wana jamiiforums.com kuwa maeneo ya Mashariki ya Kati, Ulaya na Marekani yanatosha kuitwa "dunia"!!!
Kwa kifupi nilitegemea mchanganyiko sawia wa vyombo jumuishi kwa malengo tofauti na vinavyotoka maeneo tofauti zaidi ya asilimia 75 duniani.
Hapa ndipo ninamkumbuka 'Madam Faiza Foxy' katika kunyoosha lugha za members wa JF. Ha ha ha aa!
WWK 13 News
Tanzania’s COVID-denying leader urges prayer as cases climb
NAIROBI, Kenya (AP) — Tanzania’s COVID-denying president is calling on citizens for three days of prayer to defeat unnamed “respiratory diseases” amid warnings that the country is seeing a deadly resurgence in infections.
“Maybe we have wronged God somewhere,” populist President John Magufuli told mourners at a funeral for his chief secretary, John Kijazi, on Friday. “Let us all repent.”

AFRICA NEWS
After WHO pressure, Tanzania's leader admits country has COVID cases
Tanzania’s president is finally acknowledging that his country has a coronavirus problem after claiming for months that the disease had been defeated by prayer.
PPresident John Magufuli on Sunday urged citizens of the East African country to take precautions and even wear face masks - but only locally made ones.