Tanzania kuwa dar kauli ya serikali

Tanzania kuwa dar kauli ya serikali

makesy

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
75
Reaction score
32
Kwanza salam naomba tusaidiane mawazo hivi kiongozi anaposimama na kusena raslimali yoyote itakayo patikana sehemu yoyote itakuwa ni mali ya watanzania wote huku wakilazimisha kuhamisha raslimali hiyo na kuipeleka dar sasa hapa najiuliza je dar ndio tanzania? Je mtwara sio tanzania? Je gesi ikichakatwa mtwara haitaweza kusambaa tanzania nzima? Au dar ndio katikati ya nchi?.

Mapendekezo
napendekeza kama kwali serikali haina inacho kificha na lengo lake ni kutaka kweli gesi isambae nchi nzima basi napendekeza bomba la gesi lijengwe toka mtwara kwenda dodoma ambako ndio katikati ya nchi ili mikoa yote ya tanzania ifikiwe na gesi kwa urahisi.
Nawasilisha.
 
ndo 2jiulize kama kuna uwezekano wa kujenga hlo bomba la gesi kwenda pamoja na viwanda. Ilishndkana vp kujenga hvyo vwanda mtwara?
 
Back
Top Bottom