Tanzania kuvuna medali za dhahabu olympic

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Uhakika wa Tanzania kuvuna medali za dhahabu umekuwa mkubwa sana baada ya kujitokeza wanandondi (Boxers) wa ridhaa wenye kiwango cha hali ya juu. TOC kushirikiana na TFF wamekubaliana wachezaji wa Yanga watuwakilishe katika michezo ya Olympic ya London. Hakuna wasi wasi maana vijana wale ni wataalamu wa kurusha masumbwi.

Hongera Yanga kuwakilisha Taifa letu
 
Back
Top Bottom