Kama hard disc inazunguka na kusomwa na operating system ila data hazisomi unaweza kutumia EaseUS data recovery software. Utaweza kurecover data zote ila inaweza kuchukua muda wa masaa kadhaa (hata zaidi ya 24hrs).
Kama EaseUs haisomi, kuna uwezekano ni electronics au mechanical failure. Njia bora ni kununua hardrive yenye specs kama yako halafu ifungue na ku badilisha platters (disk), yaani weka platters za zamani kwenye HHD mpya, halafu angalia kama itasoma data.