Tanzania Kujiunga na EITI: Hii Mnaionaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Kujiunga na EITI: Hii Mnaionaje??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Mar 2, 2011.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280

  [/QUOTE]

  Hivi kweli hii ya TZ kujiunga na EITI ni kweli au ndiyo ile danganya toto tu. Kama ni kweli mbona mpaka sasa hawajaonyesha nia ya kutaka wananchi tujuwe nini tunapata kwenye hiyo mikataba yao feki!!! Mimi naona kama kweli wako serious toka hiyo 2009 mpaka leo waTZ tungeshajuwa nini kinaendelea kwenye mikataba ya madini yetu. Kwa vile hatuambiwi so far mimi naona ni mazingaombwe tu yanaendelea. Kama mkataba wa Richmond/Downs unakuwa siri, je wa Buzwagi au Buryankuru tutaambiwa kweli!!!

  Mimi naona ni namna ya Mkulu kujiongezea safari zake tu.
   
Loading...