SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,928
- 2,006
We kilaza kweli. Benz imilikiwe na TATA? acha ndoto za asubuhi weweOk its mean umeamua kutoelewa basi endelea hivyo hivyo ila ukweli ndio huo niliokueleza Jamaa Ndio Wanamiliki Benz ambayo kwa Sasa inaitwa Tata na Kila kitu katika Tata Original yake ni Benz.. Baki unavyojua wewe ila unapokuwa unabishana na mtu kuhusu Asili ya Magari ya Tata usiseme walinunua bali Benz walijipendekeza na wao Wakabeba sababu wao ndio walianza kutengeneza hayo magari...
Na Kuhusu Land Rover na Jaguar nalo hukubali pia?
We zungusha tu mikono ukija kuchoka tanzania ishakua nchi yenye uchumi wa kati.
Kwa umeme huu huu?
my brother your are looking TZ as underdogs!! (That is how you are always speeking low about Tz) l am telling you now that 15 yrs to come we will not standing with you in equal footing we will be far far better economicallyYeah GlobalChick. But that doesnt change the fact that Kenya's motor industry's larger.
See this, Proudly Kenyan
Mobius Motors.
Kuhsu umeme tatizo sio miradi tuu....hata miundo mbinu bado n mibovu kwa hyo na pia bado haukidh mahitajHivi unaishi wapi? Hausikii miradi ya umeme inayojengwa?
naona jamaa wanapita kimya kimya kama hawaioni hii sredi...
Na miradi yao ya LAPSSET...
Akili yako haina ushirikiano. Ili akili ya binadamu iweze kufanya kazi huanza na msingi so wewe kasome msingi ndipo uje ujibu au uulize hoja... sio Kuvamia na kukurupukia hoja za watu... siku nyingine utatiwa kidole....................................cha macho.We kilaza kweli. Benz imilikiwe na TATA? acha ndoto za asubuhi wewe