mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,169
- 1,073
Tamati ya Safari ya mafanikio si rahisi sana kama wengi wetu tunavyoamini au kudhani..Ndio maana hata wanaofanikiwa kwa kiwango cha juu na tofauti katika nyanja mbalimbali huwa wachache mnooo ukilinganisha na idadi ya waliokuwa na nia ya kufanikiwa mwanzo wa safari au mchakato husika..mfano katika elimu,biashara,Uponyaji,Siasa,n.k....
Tanzania ni taifa/nchi tajiri sana tena sana japokuwa asilimia kubwa mno ya watanzania ni maskini mnoooooooo {WHY?????} Ni maskini mnooo japo hawapaswi kuwa maskini kabisa.why?,ebu jiulize ni nani au wakina nani wamekuwa wakifaidi utajiri wa mama Tanzania..nani wamekuwa wakinyonya maziwa yenye tanzanite,ruby,rasilimali misitu,n.k n.k...Nani wamekuwa wakifaidika na utajiri wa watanzania...?..
Katika safari ya kuelekea kwenye mafanikio kuna mengi magumu,yanayokatisha tamaa kama milima,mabonde,makorongo,mito,misitu,vizuizi,vikwazo,kejeli,kunyanyapaliwa,kutengwa,kukatishwa tamaa n.k yamkini yakawa ya kisiasa,kiuongozi,kiuchumi,kisera,kiutekelezaji,kisheria......uthabiti ktk maamuzi,utekelezaji,usimamiaji mambo/mikakati/mipango/maamuzi/maazimio vyatakiwa sana ktk kufanikisha mabadiriko ya kimaisha hasa wengi wanapokuwa wakiogelea katika lindi la umaskini,shida,mateso na taabu lukuki...
Taifa la Tanzania linapita katika wakati mgumu sana kisiasa,kiuchumi,kijamii,kiuongozi,kiimani..Katika ulimwengu wa rohoni {ulimwengu wa vitu visivyoonekana kwa macho ya kawaida/ulimwengu wa maisha ya kiimani} kuna mengi makubwa yanaendelea sanjari na yanayoonekana..
Wenye kuona tulitoka na wenye kuona tunakopaswa kuelekea kimafanikio ya uhalisia kwa pamoja twapaswa kuliombea taifa/nchi ili Mungu aendelee kumwaga rehema zake kuu ili fahamu za wengi zipate kugh'amua uhalisia wa kweli juu ya neema kubwa tunazozikalia,zilalia,zidharau...Lakini pia tutambue mbivu na mbichi juu ya faida ya yanayoendelea katika nchi kwa faida ya vizazi vya sasa na baadae.
MUNGU MWENYE ENZI YOTE,MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI ..
TUNAKUOMBA KWA REHEMA ZAKO UTUSAMEHE KWA KUTOONA NA UTUWEZESHE KUONA KWELI,
TUSAMEHE KWA KUTOSIKIA MAKUSUDI YAKO NA TWAKUOMBA TUWEZESHE KUSIKIA NA KUTENDA MAKUSUDI YAKO KWA TAIFA TANZANIA,
TUSAMEHE KWA KUFURAHIA UMASKINI NA UFUKARA JAPOKUWA TU MATAJIRI,
TUSAMEHE KWA KUTEGEMEA NA KULILIA MISAADA YA WEZI WA RASILIMALI /UTAJIRI WETU...