Tanzania katika kashfa ya kuchoma moto kuzuia nyumbu kwenya masai mara Kenya

Hapa kweli tumekosea na hao wataalam walioshauri kuchoma moto kipindi hiki cha nyumbu kuhama ni wapuuzi! Kwa nini tusisubiri wamehama ndiyo tupige moto ili kipindi wako Masai Mara huku tunawasha moto na nyasi zinaanza kumea ili muda wa kurudi wanakuta mazingira safi! Jiwe kwa vile hana akili anafikri nyumbu wana kiherehere! Ujingaaaaa!!
 
Hawa majirani hovyo kabisa kila kitu kulialia wakiendelea hivyo tupige fensi kabisa tubaki na nyumbu wetu,wao wanafikiri tuna wivu wakiondoka hao wa maasai mara tunabaki na wa ufipa kwa ujumla tuna hazina kubwa ya nyumbu.
 
naogopa kukufuru Mungu , lakini huwa najiuliza ni kwanini Mungu aliamua nizaliwe kwenye nchi ya kishamba namna hii ?
Mkuu wewe uko under 18 kwani? Nani kakuzuia kuondoka nchini? Tafuta Uraia wa popote
 
Hawa majirani hovyo kabisa kila kitu kulialia wakiendelea hivyo tupige fensi kabisa tubaki na nyumbu wetu,wao wanafikiri tuna wivu wakiondoka hao wa maasai mara tunabaki na wa ufipa kwa ujumla tuna hazina kubwa ya nyumbu.
 
Ina maana rais wetu hajaona umuhimu wa kujenga ukuta kuzuia huu uhamaji wa nyumbu kwenda Kenya ambao unatupotezea mapato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…