Tanzania insists EAC citizens MUST use passports to enter Tanzania

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,074
The Tanzanian government has reiterated that foreigners, including nationals of other East African Community (EAC) member states, must use passports to gain entry into the country.

This was stated by Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Susan Kolimba, in response to concerns on the issue, raised by some East African Legislative Assembly (EALA) members on the matter.

She told the House that the laws of the country had to be adhered to, among which were those related to immigration. Ms Susan Nakawuki (from Uganda) had wondered why Tanzania didn't allow citizens of other members of the regional bloc to use Identification Cards at border-crossing points.

She urged Tanzania to follow in the footsteps of Kenya, Uganda and Rwanda, which formalized the use of IDs, thereby easing movement of people from one partner state to the other.

"Crossing to Rwanda, for example, is a pleasant experience, as all one needs is an ID. This reflects an EAC spirit.

Why shouldn't Tanzania adopt it ?" the MP queried. Dr Kolimba pointed out that Tanzania wasn't part of the agreement that the three countries had struck, and would therefore stick to the passportrelated formality.

Commenting on the issue, the EALA Speaker, Mr Dan Kidega, said concerns were related largely less to legislators but more to ordinary people whose cross-border movements should be made easier.

He said the provision for free movement of people in the region should be fast-tracked.

In her rejoinder, Ms Kolimba said the issue would be settled after immigration issues were harmonized.

On a separate issue, Ms Nakawuki claimed that the fees charged by the University of Dar es Salaam was based on the students' nationality, saying Ugandans paid more. Ms Kolimba said she wasn't aware of the issue but promised to make a follow-up and report back to the House.

However, Ms Patricia Hajabakiga, from Rwanda, whose nephew she said was a student there, was charged the same amount as her Tanzanian college mates.

The Ugandan Minister of State (EAC Affairs), Mr Julius Maganda, said more sensitization was needed to raise awareness at all levels on the integration agenda.

He said each country has its laws; hence harmonization was important to achieve set targets for the community and its people.
 
I am heading to Uganda on 20th of next month, inshallah to Rwanda the following month for a week.....no passport required, except for my original ID. Aint that nice, Cicero?

I dont understand u. Where do u really stand on this issue of the EAC integration? On the one hand, u have been making these grandiose suggestions about harmonizing the various systems including the currency, education, vehicle number plates, tourist visas and I think u once stated that the region ought to be a federal state under one govt, with the common parliament, judiciary etc. On the other hand, u seem to support, and fiercely defend some of the Tanzania govt measures which go against this very spirit of integration u advocating for.
 
Nakumbuka yule jamaa anaitwa Mwanzi1 akilia lia eti Uhuru ameitenga Tanzania wakati habari kama hizi ndio zinadhihirisha Tanzania yenyewe inavyojitenga na kuwa na double standard kwa majirani. Eti wanafunzi wa Rwanda wanalipa karo moja na wale wa Tanzania ilhali wa Uganda wanalipa zaidi.

Leo hii Mnyarwanda akitaka kuasfiri kuja Kenya au Mkenya kwenda Rwanda, ilmradi anayo kitambulisho cha taifa lake hana haja ya kuhangaika na passpoti.

Hivi majuzi tumekua na tukio la ovyo sana hapo Bongo, kuna shughuli fulani ya kikazi iliyokwama ghafla na ilihitaji mtaalam fulani kutokea Kenya aje kuifanyia kazi. Tatizo jamaa alikua na matatizo na paspoti yake, ikawa hawezi kuingia Tanzania maana hata akipewa temporary passport Kenya lakini kule Tanzania hawampi business permit au CTR.
 
Tanzania na Kenya ni nchi tofauti acha kulialia.
 
Tatizo Rwanda,Kenya n Ugandalikubaliana hko wenyewe
 
Niliskia raha sana nilipoona application later za Kenyan university, hua school fees SSP ni sawa kwa wanafunzi wote wa East Africa (iincluding Kenya) alafu non-East Africans ndo wanaongezewa...
 
Tatizo Rwanda,Kenya n Ugandalikubaliana hko wenyewe
Tulikubaliana wenyewe baada ya kujadiliana kuhusu hilo jambo kwa miaka saba mfululizo, kila siku ilikua tunafikiana maelewano, alafu wabunge wa EALA wakirudi nyumbani, kikao chengine kikifanywa, wabunge wa Tz wanarudi wakipinga wakisema bado hawawezi tia sign, mwishowe ikabidi sisi wengine tukubaliane kivyetu manake tulikua tumechoka kujadiliana kila siku bila kufaya vitendo!
 
Tatizo Rwanda,Kenya n Ugandalikubaliana hko wenyewe

Ulikua mjadala uliohusisha mataifa yote ya EAC Tanzania ikiwemo, ikawa tunazunguka mbuyu maana maamuzi yakifikiwa ya kukumbatia mfumo, Watanzania wanatugeuzia kwamba bado wanatafakari na watafanya vikao kulijadili hilo. Sasa wakaombwa basi waruhusu wengine tusepe kwanza halafu kama vipi wakimaliza kutafakari na kulifanyia vikao suala lenyewe, wapo radhi kujiunga nasi. Wao wenyewe wakaridhia na kukubali tusepe, baadaye wakaibuka na kuanza kulialia eti wametengwa.

Japo juzi nilikua na Mtanzania fulani Kenya, akanionyesha kuna kitambulisho fulani Watazania wanapewa wakiwa Kenya ili wafanye biashara zao bila usumbufu wa aina yoyote. Sikumfuatilia sana nijifahamishe zaidi maana nilikua busy kwenye shughuli zangu.
Ninachojua ni kwamba, maeneo kama Dubai yamejengwa kwa kuwaruhusu wageni wafanye shughuli bila usumbufu ilmradi hawavunji sheria, lakini ni vigumu kuendeleza nchi ukiwa na hulka na kauli za kuweka vizuizi vya kila aina.
 
Nakumbuka yule jamaa anaitwa Mwanzi1 akilia lia eti Uhuru ameitenga Tanzania wakati habari kama hizi ndio zinadhihirisha Tanzania yenyewe inavyojitenga na kuwa na double standard kwa majirani. Eti wanafunzi wa Rwanda wanalipa karo moja na wale wa Tanzania ilhali wa Uganda wanalipa zaidi.

Leo hii Mnyarwanda akitaka kuasfiri kuja Kenya au Mkenya kwenda Rwanda, ilmradi anayo kitambulisho cha taifa lake hana haja ya kuhangaika na passpoti.

Hivi majuzi tumekua na tukio la ovyo sana hapo Bongo, kuna shughuli fulani ya kikazi iliyokwama ghafla na ilihitaji mtaalam fulani kutokea Kenya aje kuifanyia kazi. Tatizo jamaa alikua na matatizo na paspoti yake, ikawa hawezi kuingia Tanzania maana hata akipewa temporary passport Kenya lakini kule Tanzania hawampi business permit au CTR.
Ni shughuli gani hio ambayo mkenya anaifanya ila hakuna mtzii anaiweza???
 
Wageni wenyewe sio Wakenya ambao nchi yao wenyewe imewashinda.
 
Ni shughuli gani hio ambayo mkenya anaifanya ila hakuna mtzii anaiweza???

Kaka kwenye ulimwengu wa utalaam kuna mengi, nikupe tu mfano, hapa Kenya kuna software unakuta imetengenezwa na Mkenya na kuuzwa Kenya na EAC yote. Sasa upate mteja labda ni Sacoo fulani hivi Tanzania ana maboresho fulani anayotaka ifanywe na ili kumwelewa vizuri, inabidi developer mwenyewe asafiri na kwenda kukaa na mteja moja kwa moja ili kuelewa uhalisia wa hayo mahitaji na kuyafanyia kazi.

Sasa hapo unakuta developer yupo radhi kuibeba laptop yake aende kwa mteja kumslikiliza huko Tanzania, lakini tatizo linakua pale hajafuata pasipoti au ina matatizo, basi inabidi kuendelea kuelekezana kwa simu na barua pepe. Sio kwamba hakuna developers Tanzania, wapo na wana software zao, lakini mteja ambaye ni Mtanzania amechagua software iliyotengezwa na Mkenya na labda ameitumia kwa muda hadi akakumbana na uhitaji wa maboresho zaidi/customization. Sasa mnakwama nyote.

Mambo kama haya hutokea mara nyingi sana, lakini yakitokea Uganda au Rwanda, inakua mwendo wa raha maana developer atachukua laptop yake na kitambulisho chake na kuruka kwa KQ, anakwenda kuishi na mteja kama wiki moja au mbili huku shughuli ikieleweka na jioni anajiachia jiachia kwa raha zake maeneo maeneo ya burudani, shughuli ikishaeleweka anageuza na kurudi Nairobi.
 
Nakumbuka yule jamaa anaitwa Mwanzi1 akilia lia eti Uhuru ameitenga Tanzania wakati habari kama hizi ndio zinadhihirisha Tanzania yenyewe inavyojitenga na kuwa na double standard kwa majirani. Eti wanafunzi wa Rwanda wanalipa karo moja na wale wa Tanzania ilhali wa Uganda wanalipa zaidi.

Leo hii Mnyarwanda akitaka kuasfiri kuja Kenya au Mkenya kwenda Rwanda, ilmradi anayo kitambulisho cha taifa lake hana haja ya kuhangaika na passpoti.

Hivi majuzi tumekua na tukio la ovyo sana hapo Bongo, kuna shughuli fulani ya kikazi iliyokwama ghafla na ilihitaji mtaalam fulani kutokea Kenya aje kuifanyia kazi. Tatizo jamaa alikua na matatizo na paspoti yake, ikawa hawezi kuingia Tanzania maana hata akipewa temporary passport Kenya lakini kule Tanzania hawampi business permit au CTR.
Wakati mnajifungia ndani na kuongea mambo yenu ya siri kupitia CoW, Tanzania aliwekwa pembeni kimkakati kama Kenya wata kula faida yote ya EAC. Kenyatta bado ni mnafiki na anafanya mambo yake kwa jicho la kuirdeleza Kenya kupitia mgongo w EAC. Swali la kujiuliza hapa, yale yote mliyokubalina na kuiweka Tanzania nje ya hayo makubalianao yamefika wapi?? Kuvuka mipaka kwa ID, kuwa na visa moja ya utalii, kuungamidha reli toka Mombasa mpaka Kigali, muungao wa kisiasa, jeshi moja la EAC, kutafuta wawekezaji kwa pamoja yamefikiwa wapi???
 
Yote hayo ambayo mliyakataa na kugomea, sisi wengine tukathubutu na kuendelea nayo yapo yanafanikishwa taratibu. Haya ni mambo yanayoendeshwa kwa umakini ili kuhakikisha tunafanikiwa hivyo usitegemee yatakamilika kwa mpigo, chamsinig ni kwamba tumekubaliana (political goodwil) na tumethubutu sasa ni kazi ya wahusika kuyafanikisha maana yanahitaji utaalam.
Ni mambo ambayo yanaweza yakachukua kama miaka 10 ili yaje kukamilika, lakini hatua zinakwenda.
 
Mko kama gari bovu, mnaenda lakini hamjuwi kama mtafika salama. Mtu makini hafanyi utubutu wakati anajuwa hato pata ushindi. Mnakubaliana pekeyenu halafu mnataka Tanzania ije kula matapishi yenu. Fanyeni vitu kistaarabu kwa kumsikiliza kila muusika. Leo hii Kenya nnakuja kwa magoti na kuomba Tanzania ijiigize kwenye viza moja na kutumia ID kupitia mipakani. Mabavu yote mliotumia hayakuzaa matunda yoyote.
 
Back
Top Bottom