Tanzania ingekuwaje Kama Wapinzani wangeanza mwaka 1961

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Kizazi walioshuhudia uhuru na harakati baada ya uhuru, watu waliokuwepo miaka hiyo 1945-1965 kipindi hicho wanajulikana kama BABY BOOMERS wanaweza wakaona vizuri hali ya nchi leo kama Vyama vingi vingeanza toka Uhuru. Kizazi cha mwisho Z generation au kizazi cha kidigitali wanaweza wasione uhalisia sana wa hii tafakuli lakini wao pia wananafasi ya kujiuliza kama Hawa wakina Tundu Lisu,ZZK,Mbowe,LOWASA(wa upinzani sasa), Lipumba,Seif wangekuwa na vyama vyao hivi vilivyoanza 1992 mwaka 1961 leo nchi ingekuwa wapi?

Najaribu kutafakari, Hali ya Nchi ingekuwaje kama Vyama vya upinzani vingeanza mwaka 1961?

Je Tanzania Ingekuwa mbali sana kimaendeleo?
Je Tungevurugana na kupoteza mwelekeo?
Je Tungekuwa Nyumba sana kuliko tulipo sasa?

Karibu kwa maoni...
 
wasingaliitwa wapinzani wangaliitwa chama tawala, na tungelikuwa kwenye harakati za kuwatoa ama tungekwisha watoa.
 
Back
Top Bottom