Tanzania inajenga SGR class gani?

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,119
Wanaukumbi,
Naomba kujua au kama kuna anayejua, Tanzania imeamua kujenga SGR class gani? Au ni siri ya serikari?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wanaukumbi,
Naomba kujua au kama kuna anayejua, Tanzania imeamua kujenga SGR class gani? Au ni siri ya serikari?
813px-Project_Unigauge_%28India%29.svg.png

ADILI ONA HIYO MASHABIKI WA CCM WAJE WATUAMBIE YETU NI IPI HAPO
 
Kumekucha! Ngoja wachambuzi waje. Ila mkizidisha kuchonga tutawapa jeshi tuone kama mtaendelea kuchonga.
 
Mkuu;
Usijali class jali tu kuwa sio ile ya Mjerumani bali ni ya kisasa kabisa. Jali kuwa baada ya Bomberdia sasa nasi waenda kwa miguu tutaringia reli ya kisasa wala si ya kisiasa. Itakuwa furaha iliyoje tuondokane na hii inachukua treni siku 3 kutoka dar hadi dodoma?? Hata wabunge wetu hawatatumia tena magari yao kwenda dodoma. Namuombea maisha mema rais aweze kuzitimiza ndoto zake njema kwetu walala hoi.
 
hapo kwenye kutumiwa na wabunge sidhani si kwa hawa wabunge wetu wanaopena bata sana
na the bad thing is mkopo wa kujenga kipande cha mororgoro hadi dom bado hujapatikana sijui kama mwanza ndio tutafikao_Oo_O
ila i cant wait huo mradi utakapo kamilika maana tumelichoka hili karakara la sasaivi likiingia station dom linapiga kelele hadi makole unalisiskia
 
Back
Top Bottom