Tanzania inabidi kiwake tuheshimiane!

Tanzania inabidi kiwake tuheshimiane!

mtundu27

Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
78
Reaction score
123
Habarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa uko wapi Ndugu??!! Inawezekana pengine umehamia nchi jirani na hutaguswa kikitokea hicho unachoombea
 
Hivi unakumbuka ya Liberia na Siera leone miaka ya tisini au unaropoka tu ? Kuheshimiana wapi ? Akhera ? Stop that nonesense of yours !
 
Thread ya kijinga kuwahi kushuhudiwa, vijana wa Ufipa sijui Mbowe na genge lake la mafisadi sijui limewapa nini hawa vijana...
 
Habarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wap
Tandale au New Jersey??

Mkuu
We jitoe akil sekunde kadhaa, nenda magogon katupe mavi yako tu kwny ukuta mweupe ule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatamba mkiwa mmeshiba humu, alaf hamuonekan barabaran
Kiwashe uwashwe nyang'au wa mpenda vita ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kwanini ccm nao hawajiamini.?
wanakera sana kwa kweli.
Hapa ni kupigania mwenyekiti wa tume ya uchaguzi APIGIWE KURA NA RAIA.
rais anapewa madaraka makubwa Sanaaaa.
CDF anachagua yeye.
IGP anachagua yeye.
Wakurugenzi wa manispaa ambao uwa wanasimamia chaguzi.
Anachagua yeye.
TUTATOKEA WAPI HAPO?
ni sawa na Zanzibar kudai uhuru.
HUKU RAIS WANAPANGIWA NA CCM BARA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndo nyie mliombaga kupata dikteta, mmepata dikte.ta uchwara mnalia kila sehemu. We endelea tu kuomba halafu uone kitakachokujia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app

CCM Oyeee na anayepinga hiki chama inabidi akamatwe mara moja na kung'olewa kucha bila ganzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom