Tanzania impendekeze Jakaya Kikwete kuwa mrithi wa Dr. Dlamini Zuma kama Mwenyekiti Mtendaji wa AU?

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
5,255
10,172
Wakubwa heshima zenu,

Leo hii viongozi wa Umoja wa Africa wanaokutana Kigali wamekataa orodha ya wagombea nafasi ya mwenyekiti mtendaji wa Umoja wa Africa (AU) kumrithi Dr. Dlamin Zuma anayemaliza muhula wake. Kwenye hiyo orodha ambayo ilijumuisha waziri wa mambo ya nje wa Botswana na Equatorial Guinea pamoja na makamu wa Raisi wa zamani wa Uganda bi. Kazibwe ilipingwa na viongozi na wasomi mbali mbali wa Africa kwa kigezo kwamba wagombea hao hawana sifa na haiba ya kuchukua nafasi hiyo ya juu kabisa kwa bara la Africa. Uchaguzi umeamliwa urudiwe hapo January 2017 nchini Ethiopia.

Wazo langu la haraka ni kwamba Tanzania tukamate hiyo Fursa. Tunaweza kumpendekeza kikwete kuchukua/kugombea nafasi hiyo. Kwa sababu ni mwanadiplomasia mahiri na anajulikana sana kwa viongozi wenzake wa Afrika. (Najua humu kila mtu ana mtizamo wake kuhusu Huyu bwana). Naomba tusiende huko. Ila tujiulize kama Kikwete angepewa nafasi hiyo anaweza kuwa na msaada kwa Africa? Of course ni heshima kwa Tanzania lakini je anaweza kuwa na jipya kwa Africa???

Naomba tuweke ideas zetu humu labda zinaweza kumsaidia Mh. Mahiga na Rais wetu Magufuli wakiamua kum-support Jakaya Kikwete kwenye hii nafasi.

Kama ungeniuliza, naamini Kikwete anaweza kuisadia Africa. Ni vema Tanzania tukamsupport Huyu bwana aende Addis Ababa kuwa mwenyekiti wa Kamisheni ya Africa. Narudia wengi tuna tofauti zetu na Huyu bwana lakini naamini kwa dhati he can do much to support our continent. Na hata kama hatukubaliani naye..lakini tuangalia maslahi mapana ya taifa letu. Na kwa vile Rais wa sasa amejikita zaidi kwenye domestic policies, naamini kuwa na Mtanzania kama Kikwete kwenye nafasi ya juu AU inaweza kutusaidia kama taifa.

Kila la kheri Jakaya. I hope Balozi Mahiga na Rais wetu Magufuli watakupendekeza na kukufanyia kampeni. Ukipendekezwa naamini kabisa hakuna wa kupambana na wewe kwenye hiyo nafasi.

Ukifika huko ukawape wana wa Africa uongozi uliotukuka.

Masanja
 
Mkutano wenyewe unafanyika kwa Kagame labda ,isije jina likawekwa mfukoni
 
Hapana hiyo siyo shida. Tatizo ni kwamba viongozi wa AU wanataka mtu mwenye uzoefu wa hali ya juu preferably aliyewahi kuwa Rais! Na Kikwete ana-tick box zote (almost)
 
Wakubwa heshima zenu,

Leo hii viongozi wa Umoja wa Africa wanaokutana Kigali wamekataa orodha ya wagombea nafasi ya mwenyekiti mtendaji wa Umoja wa Africa (AU) kumrithi Dr. Dlamin Zuma anayemaliza muhula wake. Kwenye hiyo orodha ambayo ilijumuisha waziri wa mambo ya nje wa Botswana na Equatorial Guinea pamoja na makamu wa Raisi wa zamani wa Uganda bi. Kazibwe ilipingwa na viongozi na wasomi mbali mbali wa Africa kwa kigezo kwamba wagombea hao hawana sifa na haiba ya kuchukua nafasi hiyo ya juu kabisa kwa bara la Africa. Uchaguzi umeamliwa urudiwe hapo January 2017 nchini Ethiopia.

Wazo langu la haraka ni kwamba Tanzania tukamate hiyo Fursa. Tunaweza kumpendekeza kikwete kuchukua/kugombea nafasi hiyo. Kwa sababu ni mwanadiplomasia mahiri na anajulikana sana kwa viongozi wenzake wa Afrika. (Najua humu kila mtu ana mtizamo wake kuhusu Huyu bwana). Naomba tusiende huko. Ila tujiulize kama Kikwete angepewa nafasi hiyo anaweza kuwa na msaada kwa Africa? Of course ni heshima kwa Tanzania lakini je anaweza kuwa na jipya kwa Africa???

Naomba tuweke ideas zetu humu labda zinaweza kumsaidia Mh. Mahiga na Rais wetu Magufuli wakiamua kum-support Jakaya Kikwete kwenye hii nafasi.

Kama ungeniuliza, naamini Kikwete anaweza kuisadia Africa. Ni vema Tanzania tukamsupport Huyu bwana aende Addis Ababa kuwa mwenyekiti wa Kamisheni ya Africa. Narudia wengi tuna tofauti zetu na Huyu bwana lakini naamini kwa dhati he can do much to support our continent. Na hata kama hatukubaliani naye..lakini tuangalia maslahi mapana ya taifa letu. Na kwa vile Rais wa sasa amejikita zaidi kwenye domestic policies, naamini kuwa na Mtanzania kama Kikwete kwenye nafasi ya juu AU inaweza kutusaidia kama taifa.

Kila la kheri Jakaya. I hope Balozi Mahiga na Rais wetu Magufuli watakupendekeza na kukufanyia kampeni. Ukipendekezwa naamini kabisa hakuna wa kupambana na wewe kwenye hiyo nafasi.

Ukifika huko ukawape wana wa Africa uongozi uliotukuka.

Masanja

Say no to AU and ,,Electronic African Passport" Project!
 
Of what use is AU
 
Back
Top Bottom