Mkuu, habari yako inatia shaka sana kwa sababu hao unaowatuhumu kwamba wanataka kuchochea machafuko ndo wanafurahi zaidi tunapoendelea kuwa na serikali legelege ya ccm maana wao wanafaidi zaidi kwa njia za wizi, ufisadi, rushwa, mikataba feki nk, kwa kushirikiana na viongozi wetu.
Wakichochea machafuko ili kuwe na mabadiliko ya serikali uwezekano ni kwamba serikali itakayokuja itajali zaidi maslahi wa taifa na wananchi wake, kwa hiyo mianya ya ufisadi itazibwa. Sasa mianya ikizibwa wao watapata wapi nafasi ya kujichotea?
Nadhani unge-reason kwanza kabla ya kuileta habari yako.

Kuna nyeti bado hazijawa rasmi kwamba upo mkakati wa kijasusi wa kuingiza taifa hili kwenye maandamano makubwa very soon.
Mkakati huo unaundwa na majususi kutoka nchi mbalimbali za ulaya na amerika na several attempts zimefanyika kuwafanya wananchi walipuke
lakini imeshindikana. Sasa wanataka kutumia wanajeshi wetu. na attempts zao zinakua hivi:
1. wanaleta skendo (which is very true) ila wanangalia zile zenye impact kwa kundi kubwa la watu mathalani wanajeshi
2. Wanawatumia economic hitmen
3. Kuna crisis nyingine itatokea very soon kama ile ya mafuta then kabla haijaisha itatokea ingine in between wananchi wataingia barabarani
na hii ndio ntoleee either the government fall or situation changed.
Hiyo ndiyo brief niliyopata.
My TAKE: Ni kweli hali ya maisha ni ngumu, ni kweli tunao ufisadi na ni kweli viongozi wetu legelege. URANIUM itatuletea matatizo very soon.
kuna mapapa na manyangumi yanaililia lakini wataweza kuiexplore better when they have their own government.
Napenda sana kuona utawala wa ccm ukiondoka madarakani lakini sio kwa external forces but internal once.
Msiniulize source, sit down contemplate what is happening see what can be done to rescue.
Sio lazima upost kwenye hii thread cha msingi fikiria
Tanzania nchi yangu, Mungu ibariki Tanzania
Mkuu kama umefuatilia habari za Libya , utaona kuna habari kuwa M16, CIA wamekuwa na deals na Gaddafi na "rebels" wao kwa wakati mmoja.
Hata baada ya kuanza kuonesha kuwa wanamkubali Gaddafi,kichi chini walianza mipango ya kumtoa.
Kuwa fujo, vita ,mizozo ndio vitu wanavyovipendelea katika nchi wanazozilenga kuziibia hili halina shaka. kunakuwa na cycle ya biashara na uuzaji wa sialaha, pia kurahisisha ukwapuaji wa utajiri wa nchi husika.
Na uanzishi wa fujo,huanza kwa "kutia hamira" hali ambayo tayari ni tata. Ni wazi watanzania wanafaidi "maisha bora" yao ambayo wameahidiwa na kikwete na kila mtu asiye fisadi au kuwa na maslahi binafsi na utawala wa Kikwete angependa kuona utawala wa Kikwete unang'oka leo kabla ya kesho. Kwa hiyo ,West- US huku wanamsifia na kumpiga vijembe kwa upande mmoja, kwa upande mwengine wanatumia njia nyingi kuichafua serikali ya Kikwete kupitia kama Wikilieaks ambayo kwa karibuni imekuwa inavujisha nyaraka za siri hasa kwa nchi ambazo zinatakiwa, zinatayarishwa ziingie katika mizozo....Kwa nini wikiliaks hawavujishi mipango ya siri ya muaji yanayopangwa na US, France, UK?
anyway, ukiangalia hapa utaona , kazi ya kuweka "hamira" inafanyika kwa ustadi, tayari wananchi wanahasira juu ya utendaji mbovu wa serikali, maisha magumu, ufisadi, richmond,Barrick wanavyochota dhahabu zetu, EPA, wabunge na mawaziri kupata mashangingi lakini wananchi wagonjwa kupata vibajaji kuwasafirsha kwenda kwenye zahanati na hospitali ambazo hazina dawa wala vifaa vya kutibia wagonjwa ..nk na kauli za utani za kuwa uchumi wa Tanzania unapaa..
Tanzania denies president bribe claims in US cable | Top News | Reuters
Kwa hiyo, mleta mada anaweza kuwa ameshaisoma vyema misinformation and confusion tactics za US-West. Kitu wanachojali wao siku zote na bila ya aibu husema "our national intersts". Hawajali watu wakiuana, wakichinjana au kuandamana, bora kwao kuuza silaha zao na kuchota wanachokitaka.
Hivi bado tuna kitu ambacho mataifa mengine yanakimezea mate?? mimi nilifikiri wameshachukua kila kitu na kuondoka kwa sababu mheshimiwa mmoja alituambia "nchi imebaki mifupa tu". Kumbe bado tunavyo basi Mungu mkubwa. Ila nina wasiwasi kama hiyo ndoto inaweza kuwa ya kweli. Unajua ndoto zingine ni za kukuburudisha ukiwa usingizini. Madini tumeshawapa, wanyama tumeshawapa, ardhi tumewapa kwa miaka 99 na tutawaongezea miaka mingine kabla hii haijaisha, mali asili zote tumewaambia chukueni. Lakini tunashukuru kwamba angalao mkubwa wetu kaambulia suti.!!