assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Katika taifa la Israel enzi ya Musa walipewa nchi ya ahadi lakini adi Musa anakufa hawakuweza kuifika.
Sasa Tanzania imekua nchi ya ahadi.
Nyerere alileta socialism na mfumo wa kikomunisti watu wakiahidiwa nchi ya neema. naona unamajibu km neema xilipatikana ama la
Mwinyi akaja uchumi huria na tukaona azimio la arusha likifa kifo cha mende. serikali ikafirisika, zile neema tulizoahidiwa unajua mwenyeww kama zilipatikana ama la
Akaja Mkapa ,ukweli na uwazi hspa hata sisemi chochote ubinafsishaji ulichokifanyia Tanzania hakisemeki, mwenyewe unajua kama zile neema tulizoahidiwa zilipatikana ama la
Kikwete akaenda na kasi Mpya na ari Mpya yakazuka Epa, escrow,Richmond,ujangili jamani neema tulizoahidiwa mwenywe unajua km zilipatikana ama la
sasa Mzee Magufuli ametuahidi kutupeleka Tanzania ya viwanda, naona mikakati ya kufungua viwanda huenda IPO jikoni ila binafsi cjaiona naomba tuwekewe mezani hiyo mikakati kuhusu kilimo,uvuvi,miundo mbinu, nishati, elimu ikiwa ht madawati inabidi tujitolee je viwanda itawezekana 2020 au tutaambiwa miaka mitano ilikuwa Michsche niongezewe ili nimalizie ahadi zangu.
Hivi watanzania tumelogwa na nani? Tupo tayari kuishi maisha ya kuishi ndoto ya kufika nchi ya ahadi hadi lini?
..