tufahamishane
Member
- Jun 22, 2024
- 28
- 30
Salam ndugu zangu wa Tanzania.
Tanzania ni nchi nzuri sana pengine kuliko nchi nyingine yoyote katika ukanda wa maziwa makuu na Jangwa la Sahara.
Ukiangalia bendera Ramani na Historia ya Tanzania utagundua kuwa Tanzania ni nchi ya kutamaniwa na kila mtu.
Tanzania ili iendelee kustawi inaitaji mambo matatu
1: Viongozi wazalendo wenye uwezo KIU na moyo wa dhati wa kuwaunganisha Wa Tanzania bila kuwa bagua kwa dini zao tamaduni au makabila Yao.
2: Kila Mtanzania avenue tabia ya uzalendo aipende nchi take afanye kazi kwa bidii na wa Tanzania wore tujenge tabia ya kulipa Kodi kwa uaminifu
3: Wote tujenge tabia ya kumpenda Mungu akubudu na kufanya ibada kila siku
Mambo hayo yakifanyika Tanzania itakuwa nchi imara isiyoweza kuyumbishwa na upepo wowote