Tanzania ikisema YES nani wakupinga?(Clouds Fm)

Tanzania ikisema YES nani wakupinga?(Clouds Fm)

Masangutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
814
Reaction score
647
Hivi hii jingle ya Clouds Fm inayosema 'Tanzania ikisema Yes nani wakupinga?'inaukweli wowote?.

Nawasilisha.
 
IPSOS au Synovate wale makanjanja wa research wanaolipa watu shilingi elfu mbili kwa siku eti wamefanya utafiti wakagundua eti hii radio ya kikuda ndo inayoongoza kwa vpindi vinavyosikilizwa na watu wengi ndo chimbuko la hiyo jingo
 
Back
Top Bottom