Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 80
Nyingi sana, tena si Gas pekee na Oil. Ngoja mtangaziwe. Hizo za Songo Songo ni cha mtoto.
tafadhali nitafutie basi nami sehemu ya bei rahisi kununua huko kisiju
wazanzibar mtatukoma na mafuta yenu ya kujipaka kwenye kikombe!
watawakoma saangapi wakati mtakuja kupatana mirahaba ya 0.5%?wazanzibar mtatukoma na mafuta yenu ya kujipaka kwenye kikombe!
Kuna shamba la eka 100 si mbali sana na kisiju mjini, kila eka mwaka juzi ilikuwa 50,000 sasa hivi wanataka kila eka 500,000 na ukichelewa vitafika millioni. Na hapo si mbali na refinery mpya, sema hao watu wa refinery wanapataka sana hapo. Nenda tu wahi, usingoje kutafutiwa.
Sema zikianza harakati za uchimbaji, inabidi upawachie, sasa ikiwa serikali itawacha haya makampuni yapatane na wenye mashamba itakuwa swafi sana, ila wakiingilia na "compensation" zao za Kiserikali, sana sana utarudisha gharama na utapewa sehemu nyingine, ambayo si mbaya pia bado utakuwa umefaidika.
Aaah, ni Watanzania tena hilo wala usiwe na shaka. Sema wana sifa yao nyingine ambayo Kisiju itabidi mikono waishiwe, huko hawafungi tairi la shingo, huko wanakata mikono. mara ya mwisho aliyekatwa mkono ni mchagga mwaka 1972. Mpaka leo watu Kisiju wanalala bila kufunga milango, hakuna mwizi huko.
Tanzania has 'huge deposits' of everything....But..eer..eer.. Legislators wapo busy kudai nyongeza ya posho na kuuliza uhalali wa JF!!!
Kweli cha mjinga huliwa na
Ndugu tuna wabunge wachache wenye upeo wa kuweza kujadili hayo, hakina hao watakao jadili hazina yetu? Ni "prof"Miti mirefu au Getruda lwakatale? Ktk hili tunahitaji wenye uwezo zaid ya bwana asifiwe!
Hivi dhahabu, almasi na hata Tanzanite ambao tunayo sisi tu vimetufikisha wapi so far? Sioni watawala wetu wanaweza kufanya nini cha tofauti kwenye gas! Zaidi tutaanza kusikia mikataba inasainiwa US, UK au kwengineko.
Mkuu Madela wa Madilu, hiyo lugha uliyotumia ndio kuonyesha hasira?.Wote walio sign mkataba Guest House ni malaya Wassenge wazoefu waliozoea kujiuza kwa bei poa.
Nahisi walisaini mkataba huku wakiwa wamekalia mpini wa mzungu.
Si unajua tena wazungu walivyo Mabasha wazuri??
Hivi kweli Tanzania ina hao watu wanaoitwa 'mechanical engineers'? labda 'Historical engineers'!Hii iwe ni changamoto kwa wahandisi wetu, has mechanical engeners, kubuni mitambo inayotumia gas ili kurahisisha na kusaidia kubadilisha kilimo vijijini. Wakulima wahamasishwe kuondoka kwenye kilimo cha jembe la mkono na badaya yake watumie mashine.
wazanzibar mtatukoma na mafuta yenu ya kujipaka kwenye kikombe!
Aaah, ni Watanzania tena hilo wala usiwe na shaka. Sema wana sifa yao nyingine ambayo Kisiju itabidi mikono waishiwe, huko hawafungi tairi la shingo, huko wanakata mikono. mara ya mwisho aliyekatwa mkono ni mchagga mwaka 1972. Mpaka leo watu Kisiju wanalala bila kufunga milango, hakuna mwizi huko.