SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Wadau
Hii taasisi ya THI (Tanzania Heart Institute - About THI) bado inafanya kazi? maana pamoja na moyo wa Dr. Masalu (Mwanzilishi) wa kusaidia Watanzania kupata tiba ya moyo hapa hapa TZ wanasiasa wakaona dili lao la kupeleka wagonjwa wa moyo India litavurugwa wakaanza kumpikia majungu/mizengwe.
leo nimeangalia website yao naona information nyingi ni za 2008 na 2009. Yoyote mwenye info kuhusu hili, na je Wabunge hawawezi kuulizia hususani wakati wa bajeti ya wizara ya afya kuhusu mustakabali wa kuwasaidia wataalamu wazawa kama kina Dr. Masalu wenye nia ya ku-invest home?