choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,662
- 3,003
Nakumbuka kwenye kufuzu AFCON, mechi ya Madagascar vs Tanzania, mechi ambayo ilikua kukamilisha ratiba lakini namna wamadagascar walivyoishangilia timu yao ilihali hata ingeshinda isingefuzu
Nikashangaa wachambuzi, mashabiki kuilaumu Stars kufungwa na Morroco 2-0,
Kila shabiki Tz ni Simba au Yanga sababu ndio timu zenye uhakika wa ushindi zaidi ligi kuu
Nenda United pale England, walipokea kipigo cha goli 7 Anfield, mechi iliyofuata OT walijaa mashabiki elfu 75, bila kujali mgogoro wao na Glazers.
Juzi wakafungwa 3-0 na Man City nyumbani ila hawakusema mashabiki wasuse kuingia uwanjani mechi ya UEFA, walijaa kama kawaida.
Huku Tanzania timu mpaka ishinde ndio ijaze mashabiki uwanjani ilihali wenzetu wanaojua mpira, matokeo siyo kigezo cha kujaza uwanja.
Leo Yanga inacheza saa 4 usiku, wasiposhinda, upepo wa mashabiki utabadilika hamasa itashuka.
Tanzania bado hatuna mashabiki, tuna wasaka matokeo.