Mgosi original
Member
- Feb 13, 2013
- 98
- 15
tumwombe Mungu atusaidie
Viongoz kutumia viungo vya albino kutawala inanifanya n4seme tanzania c salama.
Ni nini hiki ulichokiandika hapa?
Tuwe serious jamani hata kama tunatumia majina fake.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Haswa tunatakiwa kuiweka kwenye maombi hii nchi.
Tufanye wewe hujui kwamba viongozi wengi wanaenda kwa masongoma wakiamini ni kulinda nafasi zao au kutafuta nafasi kubwa zaidi? Huko ndiko kuua maalbino kwa vile masangoma hao wanahitaji sehemu za miili ya Albino.

kuna viongozi, mawazir, MRPC,makamishna wameenda Loliondo kwa babu vyeo vidumu. Je kweli hawa hawaend kwa wengne wakaambiwa leten viungo vya albino mtadumu madarakan. Mfano wameleta FBI Kwa kifo cha mtu mmoja kwanin wasilete kwa ajil ya maalbino? TafakariMimi sijui. Ni kiongozi/viongozi gani hao?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kuna viongozi, mawazir, MRPC,makamishna wameenda Loliondo kwa babu vyeo vidumu. Je kweli hawa hawaend kwa wengne wakaambiwa leten viungo vya albino mtadumu madarakan. Mfano wameleta FBI Kwa kifo cha mtu mmoja kwanin wasilete kwa ajil ya maalbino? Tafakari