MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
wakuu, nimefikilia kuwa kuna uwezo wa kuw na benk ya kuwawezesha graduate wetu. kwa kuanzia tunaweza kuanza na mfuko wa graduate( graduate fund au saccos). nimekuja na wazo hili kwa kuona jf na wengine ikiwemo mim tunaangaika na ajira na pia wanasiasa wanasema tujiajir wakat benk zimetutenga. tutapataje mtaji? tutaendeshaje, jins ya kuasaidia graduate,na mfumo mzima wa shughur yote mi ninayo kichwn. ombi langu naomba graduate wezangu tushilikiane kwa wazo langu hili, naomba vijana kumi ambao wapo tayar kujitolea kwa kutimiza ndoto hii, kwn naamin tutapoteza mda ila tutafanikiwa, kama upo tayar ni PM, nitakwambie tukutane wap,mi naishi dar asanten