leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.
Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana"
Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja?
Jee kwa zitto kuchapisha na kuandika maneno hayo , Viongozi wa CDM hawatazidi kumuona ZItto ni msaliti?
kuna kipindi alisema anaenda kulalamika gazet hilo kwa mmiliki. alienda?
leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.
Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana"
Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja?
Jee kwa zitto kuchapisha na kuandika maneno hayo , Viongozi wa CDM hawatazidi kumuona ZItto ni msaliti?
Alisema anamshitaki mmiliki wa gazeti (Mbowe) kwa katibu mkuu wa chama (Dr Slaa). Sijui walimalizana vipi. Kama sijasahau, ni wakati wa sakata la Kafulila kutaka kumpindua Mbatia na mbunge mmoja wa NCCR kunukuliwa na gazeti hilo akisema alishawishiwa kuunga mkono mapinduzi hayo na kuhakikishiwa kuwa Zitto alikuwa na fungu la kutosha kufadhili mpango huo.kuna kipindi alisema anaenda kulalamika gazet hilo kwa mmiliki. alienda?
Wekeni picha. Ili na sisi tulio nje ya nchi tuone
Mi nafikiri siasa sio uadui. Tulimwona Nassar akiwa na W. J. Malecela, tulimwona mganga Maji marefu akiwa na viongozi wa cdm. Sidhani kama cdm wanataka kuona Zitto akipigana na jk! Hatujafika huko!
haina aja ya picha mwanzisha mada anataka kuchochea na kuweka vitu visivyokuwepo na visivyo na maana kwa kuitafsiri atakavyo hii picha!
Kwenye siasa za Chuki wataona hivyo, Kwa wanaojua siasa, hizo ndizo siasa za kistaarabu.leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.
Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana"
Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja?
Jee kwa zitto kuchapisha na kuandika maneno hayo , Viongozi wa CDM hawatazidi kumuona ZItto ni msaliti?
maandishi yanasomeka. "marafiki wa kweli wa kufa na kufaana" jee jk na zitto ni marafiki kiasi hicho? Au tzdaima wanatka wananchi wafahamu kwamba zitto ni kibaraka?
Haina aja ya picha mwanzisha mada anataka kuchochea na kuweka vitu visivyokuwepo na visivyo na maana kwa kuitafsiri atakavyo hii picha!
Hueleweki mkuu. Kinachofanya aonekane msaliti ni kuchapishwa kwa picha hiyo au ni yeye kucheka na MH Rais? Maana picha au gazeti linareport event tu!leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.