Mleta uzi, shida iko wapi? Mbona karibu vyombo vyote vya habari vimeripoti hi kitu? Tena walikua na CD za Al Quida, Al shaabab na sijui kile kingine kinaitwaje sijui, sasa sijaelewa, complain yako iko wapi kwenye hilo gazeti! Naomba ku-declaire interest, hili kwangu ndio gazeti chaguo No 1 kw ayale yanayotoka kila siku then Mawio na Raiamwema kwa yale ya kila wiki. Na tokea nimeanza kusoma gazeti hili, sijawahi kujilaumu![/QUOTE
mkuu kuna typing error kwenye neno UGADI badala ya ugaidi, ndo hilo mkuu
hata mie ndo gazeti langu pendwa